Computer4Sale Offer ya January: Pata computer kwa bei poa

Hp yenye intel core i7 generation kuanzia ya zipo na bei zake zikoje tafadhali
 
Desktop nzuri ina sifa gani?

Hapo nimelenga Muonekano mkuu na sio specs!! Nataka kwa ajili ya kuaccess data zangu ,nina HDD ya SATA 1TB ina data zangu sasa nataka Desktop ili niiconnect hiyo HDD niweze kuaccess tu ,kwahiyo Desktop yeyote kwangu inafaa ,najua kwasasa hakuna pentium 2 au 4 au Duo core kwenye market ni mwendo wa icore 3 na kuendelea.
 
Mkuu karubu kuna desktop ya core2duo
Nzuri kwa ishu izi za kawaida kama stationary, bei
Poa tuu,
 
Back
Top Bottom