Offer ya Website kwa 50k Tu.

Offer ya Website kwa 50k Tu.

Mm nahitaji custom website kwa ajili ya biashara, kuna mtu nilimuuliza akasema laki 7.

Sasa ww unasema 50k mbona utofauti ni mkubwa sana?
 
Mm nahitaji custom website kwa ajili ya biashara, kuna mtu nilimuuliza akasema laki 7.

Sasa ww unasema 50k mbona utofauti ni mkubwa sana?
Kuna website na web-based system kiongozi,,,,,, cjajua yako ipo kweny category ipi
 
Offer bado inaendelea,,,,, ni msimu mzima wa Christmas*̣̥☆·͙̥❄‧̩̥࿌ིྀ྇˟͙☃️˟͙࿌ིྀ྇‧̩̥❄·͙̥̣☆*̣̥
 
Habari wanajamii. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu

Je, unahitaji website au blog kwaajili ya biashara yako?

Mimi ni nani?
Web systems developer nlie na uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika utengezaji wa websites zenye muonekano mzuri yaan UI design (swiftUI and UI for mobile).

Development
Front-end ( HTML, CSS, JavaScript, vue.js)

Back-end( PHP, Node.js, JavaScript, Angular.js for serverless systems)

Njoo nkucustomizie website yako yoyote kwa tano tu!

  • e-commerce website
  • blog
    [*]web systems with API integration, email, phone verification.
    [*]n.k chochote ukipendacho Ila isiwe na payment intergration



Note: sio mtaalamu sana wakubonga fanya kazi na Mimi ujionee uchawi wakizungu.

Nichek 0624179801
Integration za payment kwenye web ni muhimu Sana
Kaa chini piga madesa
 
Back
Top Bottom