Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Jifunze mwemyewe
Mkuu nikitaka unifundishe na mimi maujafanja ya IT inakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nikitaka unifundishe na mimi maujafanja ya IT inakuwaje?
Pa 1Nipo available nichek 0624179801
Jifunze mwemyewe
Mbinguni hakuna computerBasic nafahamu mkuu ila nataka kuwa deep Hadi nkipita mitaani nanukia motherboard
Binadamu Mtakatifu bhana 😂 wee umejuaje?Mbinguni hakuna computer
Hahah mimi najua HTML,CSS, JS sio sana na framework yake jquery backend PHP na database ni MYSQLBinadamu Mtakatifu bhana 😂 wee umejuaje?
Maisha yalivyomagumu natafuta kazi kwanza programming nitakomaanay tena baadaekazia apo JavaScript ongezea na Vue unakua flexible
Integration za payment kwenye web ni muhimu SanaHabari wanajamii. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Je, unahitaji website au blog kwaajili ya biashara yako?
Mimi ni nani?
Web systems developer nlie na uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika utengezaji wa websites zenye muonekano mzuri yaan UI design (swiftUI and UI for mobile).
Development
Front-end ( HTML, CSS, JavaScript, vue.js)
Back-end( PHP, Node.js, JavaScript, Angular.js for serverless systems)
Njoo nkucustomizie website yako yoyote kwa tano tu!
- e-commerce website
- blog
[*]web systems with API integration, email, phone verification.
[*]n.k chochote ukipendacho Ila isiwe na payment intergration
Note: sio mtaalamu sana wakubonga fanya kazi na Mimi ujionee uchawi wakizungu.
Nichek 0624179801