Official: African Super League Yanga haipo

Official: African Super League Yanga haipo

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Yule Micky JR kawadanganya watu, CAF wamepost rasmi. Angalieni hapa Mchezaji wa Yanga ni yupi?
Screenshot_20220810-192236_1.jpg
 
Yule Micky JR kawadanganya watu ,CAF wamepost rasmi. Angalieni hapa Mchezaji wa Yanga ni yupi?View attachment 2320316

Mchezaji wa utopolo atakuwa ni chama 😀😀😀
 
Yule Micky JR kawadanganya watu ,CAF wamepost rasmi. Angalieni hapa Mchezaji wa Yanga ni yupi? HiiView attachment 2320316
Acha utopolo huu mtoa hoja hii, hii picha sio kwa timu zitakazo shiriki hii super ligi, angalia kushoto kwako kabisa kuna picha ya Tau na pia angalia in middle kuna mchezaji ,huyu yupo team moja na Tau,hapo kuna wachwzaji wawili wa Mamelodi Sundowns, Zwane na mwingine nimemsahau Jina ila anatoka Namibia 🇳🇦, acha uongo
 
Super league itaua michuano ya CACL na kunufaisha klabu chache tu tena zenye uwezo mkubwa kiuchumi.
Itategemea na vigezo watakavyotumia kupata washiriki kwenye hayo mashindano, itabidi wahakikishe wanaweka vigezo ambavyo havitaondoa ubora wa CAF CL, ili napo paendelee kubaki na timu zenye ubora, ushindani ubaki kote.
 
Back
Top Bottom