Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, Seif Kaibiwa tena!
Sikuona sababu ya CUF kuweka wagombea katika majimbo ya Ubungo na Tarime
wakuu nipo naangalia tbc na dr shain ametangazwa kuwa rais na maalim seif ndo anaongea hapa nimependa speech yake imekaa kiungwana kabisa
mwenyewe karidhika wewe kinakuuma nini!?
Niliyasema haya kuwa matokeo ya mseto wao. Seif Sharrif never left CCM kwa hiyo kawaingiza mkenge Wazanzibar na huo mseto kwa faida ya viongozi ambao lengo lao kubwa ilikuwa kugawana madaraka na kuendesha nchi...
Kama CUF wangeungana na Chadema, huko Zanzibar kulikuwa na kila nafasi ya CUF kuchukua madaraka na kuundwa kwa serikali tatu lakini sasa ndo wasahau...