Elections 2010 OFFICIAL: Dr. Shein, Rais mpya wa Zanzibar 2010-2015

Elections 2010 OFFICIAL: Dr. Shein, Rais mpya wa Zanzibar 2010-2015

Hii yote imekuwa staged. Mkapa alishasema serikali ya mseto is only possible kama inaongozwa na CCM, na hiyo inaelezea kwa nini Mkapa yupo Zenji leo.
 
Zanzibar wametangaza matokeo ya urais huku dk.shein akiongoza kwa asilimia 50.1 na maalim kupata asilimia 49.___, ila maalimu ametoa onyo kwa ccm kutowabeza kwa kushindwa maana patachimbika
 
Asilimia za kura moja zinafanana na za mwaka 1995?

Is it possible wameinflate idadi ya kura kwa same ratio ili idadi itimie ya wapiga kura wa mwaka huu? just thinking aloud.

POLENI wapenda mageuzi. Sasa Seif akubali kuwa Waziri Kiongozi tu - IF CCM wataamua kuendelea na muafaka maana inawezekana walikubali mwanzoni kwa kuwa hawakuwa na uhakika wa kushinda
 
Naam wanaojua maridhiano hao wameshafikia hatima kungali ahsubuhi
huku bongo gwiji la kuingiza majambazi madarakani NEC linapata shida kusababisha tena. sasa linatumia mbinu ya kuchelewesha matokeo ili katikati ya vurugu masanduku yachakachuliwe
 
Inakuwaje Seif anakubali kirahisi hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Deal imefanyika jamani.
Na seif iwe ndo mwisho asirudi tena 2015 wampe mwingine ajaribu
 
Niliyasema haya kuwa matokeo ya mseto wao. Seif Sharrif never left CCM kwa hiyo kawaingiza mkenge Wazanzibar na huo mseto kwa faida ya viongozi ambao lengo lao kubwa ilikuwa kugawana madaraka na kuendesha nchi...
Kama CUF wangeungana na Chadema, huko Zanzibar kulikuwa na kila nafasi ya CUF kuchukua madaraka na kuundwa kwa serikali tatu lakini sasa ndo wasahau...

Mkandara, kuna kazi kweli mbele ya safari
 
Leo ndio kwa mara ya kwanza ninaona Rais ambaye hakujipigia kura
 
Mimi napendekeza 2015 agombee Hamad Rashid mbunge wa Wawi
 
Hii difference ni questionable...eti 50.1% kwa 49.01% mmmmmhh I can't believe my eyes. Yamepangwa haya na Maalim Seif kawekwa sawa mapema eti kwa ahadi watamwachia 2015, kitu ambacho logically hakiingii akilini...kwanza atakuwa maeshakuwa mzee nani atakubali. Alambe huo umakamu wa rais.
 
Congrats Dr Shein. Ehuuu, nilishaanza kufikiria serikali 3, za CUF ehuuu, mtitimtiti!!!!!!
 
Back
Top Bottom