Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulikuwa humjui #BOSSLYNN Ndo Huyu hapaView attachment 901508View attachment 901509
Kudanga ni kuchuna au kuliwa mali zako na mwanamkeNaomba kuuliza..
Neno "kudanga", je ni tafsida ya neno "kujiuza/umalaya/uchangudoa!?.
Naomba kujuzwa wakuu, ili nami nijue sehemu ya kuliweka na wapi nitumie!.
Kudanga ni kuchuna au kuliwa mali zako na mwanamke
Anhaa.. asante kwa shuleKujiuza
Kana wapa kitu ambacho wewe huwapiMbona kademu ka kawaida sana kanawapa nini vidume?
Yaani...Naona JF inakuwa Instagram
Umejuaje kama hawapi?Kana wapa kitu ambacho wewe huwapi
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kweli mmbea
Sas hapo ni kudanga au kudangwa. ?Kudanga ni kuchuna au kuliwa mali zako na mwanamke
Hayo ndyo majibu sahihi,ukifuta na kuandika mengine baraza tunakufutia matokeo!Naomba kuuliza..
Neno "kudanga", je ni tafsida ya neno "kujiuza/umalaya/uchangudoa!?.
Naomba kujuzwa wakuu, ili nami nijue sehemu ya kuliweka na wapi nitumie!.
Hayo ndyo majibu sahihi,ukifuta na kuandika mengine baraza tunakufutia matokeo!