Official mange account on Jf

Mange hapambani na ID feki. Anapambana na watu halisi. Kama mnataka mshindane naye kubalini kutumia majina yenu halisi hapa muone atakavyowavua nguo
[emoji13] [emoji13] thubutuuuuuu
 
Lile poyoyo haliwezi kubishana kwa hoja..
Anachoweza ni kuwa attack watu kwa matusi na sio majibizano na hoja.
Kwahio yeye kuja kwenye platform kama JF ni ndoto maana umaarufu wake utaisha na ujinga wake utaonekana hadharani
 
Kama unamtaka mfuate huko huko insta ukapambane naye.....
Wee naye lioga tuu si kule anakopostigi kuna option ya comment??
Ustake uhurumiwe huku. Mbona mzee mtuziii huwa anapambana naye huko huko?
Kule huwa ana kublock,anachotaka ni kusifiwa tu kule kama yule mzee baba.
 
Mkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
ngoja nikuambie kitu mkuu yul mange ubabe wote kwa mastaa sasa mm bakïgraundi yangu iko poa ... atatafuta nn ..... halafu huku jf . ndo maana tukaficha id hatu angalii jina bali iQ
 
Mkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
hahahahahahahahah ama kweli huyu jamaa/binti mnamuogopa eeeeh
sometimes nashangaa sana watu wanavyomgwaya huyu mwana dada
personnally I don't
 
yupo sana humu naona mara kwa mara anakata vipande vya humu jf na kuvitupia kwake
 
Watanzania wengi wanapenda sana picha ndio maana wapo instagram na fb...twitter na mitandao kama jf huwezi kuwakuta sana sababu hamna umbea
 
Watanzania wengi wanapenda sana picha ndio maana wapo instagram na fb...twitter na mitandao kama jf huwezi kuwakuta sana sababu hamna umbea
JF kuna mambo ya ban kule wanatukana mpaka wanachoka
 
Kwa hiyo kashindwa kuthibitiwa ?
 
Unajua mange ni kam Kirus fulan hiv ndan ya mitandao ya kijamii. Yeye anapost tu hata picha za watu wasiokuwepo. Sijui kama kichwa chake kiko sawa. Sielewi kama uwezo wa kufikiri anao kias gan. Yaan huyu mwanamke sijui hata mzungu aliemuoa aliangalia nini. Nilikuwa sijui kama kuna wazungu wasomi wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Jana amerusha picha za wanawake innocent kabisa, anawadhalilisha et wamefirwa na shekhe. Sielewi kama anajua impact ya anachokifanya
Heb assume mtu innocent anakuta picha yake pale na wakat hata shekhe hamjui.

Halafu ukute mtu mwenyewe ni mke wa mtu. Anaharibu ndoa za watu bure bila kosa lolote. Mimi akinifanyia hivo wala sihangaiki na yeye. Wala sitapoteza muda wa kumjibu. Naanza tu kumharibia na kumpa mapigo moja baada ya nyingine mpaka aombe msamaha. Naanza ku deal na ndugu zake wa damu. Si wako bongo. Na deal na mmoja baada ya mwingine then naacha ujumbe. Mpaka ataomba msamaha.
Sielewi kama anaelewa kuwa mambo kama haya yanaweza kumpata. Ndo maana nasema uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mno. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…