zuSzu36
Member
- Dec 31, 2017
- 73
- 108
[emoji13] [emoji13] thubutuuuuuuMange hapambani na ID feki. Anapambana na watu halisi. Kama mnataka mshindane naye kubalini kutumia majina yenu halisi hapa muone atakavyowavua nguo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] thubutuuuuuuMange hapambani na ID feki. Anapambana na watu halisi. Kama mnataka mshindane naye kubalini kutumia majina yenu halisi hapa muone atakavyowavua nguo
Lile poyoyo haliwezi kubishana kwa hoja..Huyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime kama kweli ligi lake ni la mchangani au uwanja wa nyasi.
alete hoja huku kwa mtindo ule ule na jina lile lile ili watu wampime kidogo uweze kujibu mashambulizi ya karibu.
yani Jf wampe hata kaofa kakukaa humu kwa wiki moja tu.
ila kumbuka aje na mbinu zile zile na hoja zile zile za kule.
watu zako wa karib ndo watakuvua nguo
Kule huwa ana kublock,anachotaka ni kusifiwa tu kule kama yule mzee baba.Kama unamtaka mfuate huko huko insta ukapambane naye.....
Wee naye lioga tuu si kule anakopostigi kuna option ya comment??
Ustake uhurumiwe huku. Mbona mzee mtuziii huwa anapambana naye huko huko?
ngoja nikuambie kitu mkuu yul mange ubabe wote kwa mastaa sasa mm bakïgraundi yangu iko poa ... atatafuta nn ..... halafu huku jf . ndo maana tukaficha id hatu angalii jina bali iQMkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
we mkuu kunywa balimi nakuja kulipaShida jf hawaruhusu matusi na matusi ndio silaha yake kubwa, yule ukimchallenge anatukana
hahahahahahahahah ama kweli huyu jamaa/binti mnamuogopa eeeehMkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
yupo sana humu naona mara kwa mara anakata vipande vya humu jf na kuvitupia kwakeHuyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime kama kweli ligi lake ni la mchangani au uwanja wa nyasi.
alete hoja huku kwa mtindo ule ule na jina lile lile ili watu wampime kidogo uweze kujibu mashambulizi ya karibu.
yani Jf wampe hata kaofa kakukaa humu kwa wiki moja tu.
ila kumbuka aje na mbinu zile zile na hoja zile zile za kule.
JF kuna mambo ya ban kule wanatukana mpaka wanachokaWatanzania wengi wanapenda sana picha ndio maana wapo instagram na fb...twitter na mitandao kama jf huwezi kuwakuta sana sababu hamna umbea
hahhahaaàYupo humu na ana ID nyingi tu. Ndio wa kwanza kutuhabarisha nyuzi za mange huko insta
..... ...... ........ ...!Mbona yupo humu kitaaaambo anatumia ID ya Gentamycine
[emoji28] ataanza kiwadiss "mods"aisee kule insta watu hatumfuati tunahofia kumaliza mb zetu aje jf .....alete mambo yake ya unoko hahaha hamalizi wiki ban anayo mkuu