OFFICIAL THREAD: UEFA™ Champions League Competition Analysis And Statistics

OFFICIAL THREAD: UEFA™ Champions League Competition Analysis And Statistics

Naona wengi wanasema juve anabeba ndoo ...lakin hii gemu mtu yoyote akipigwa dakika za 30 za kwanza Basi mchezo umeisha ...alaf real wawe makini sana maana Ramos pepe na casemiro ni marafiki sana na red cards
 
Mkuu ukubali tu Monaco wana attacking force nzuri zaidi ya Madrid. Laiti kama Semi final Madrid angecheza na Monaco muda huu huenda tungekuwa tunaongea kifaransa zaidi na kiitaliano.
Eti Benzema ndio mfungaji.
 
Madrid sema wametokea kuwa na best midfield in the world, ndicho kinachowafanya wanakuwa vizuri, otherwise hali ingekuwa sio kabisa pale.
Na hapo ndipo palipo na shughuli pevu hapo kesho sidhani kama Mid za Juve zitakubali Mid za Madrid zilete madhara.
 
Madrid sema wametokea kuwa na best midfield in the world, ndicho kinachowafanya wanakuwa vizuri, otherwise hali ingekuwa sio kabisa pale.

Mkuu hii inafahamika wazi ILI UPIGE MPIRA MZURI SHURTI UWE NA MIDFIELDERS...HAPO KESHO [HASHTAG]#PATACHIMBIKA[/HASHTAG]!!!
 
Sijui ni mimi tu, lakini fainali hii ya mwaka huu imekuwa na msisimuko wa aina yake, naifananisha na ile ya mwaka 2008 Man Utd vs Chelsea.

All in all, atakayekuwa kuwa mjanja wa kumsoma mwenzake vizuri ndiye atakaye shinda.
Ile ilikuwa kali sana
 
Massimiliano Allegri will attempt to banish the demons of that night by claiming the Bianconeri's third European title in Wales.

Je kocha Huyo Wa Juve atafanikiwa???
Ndyo jamaa atabeba
 
DK 45
RMADEID 2-0
RONALDO TO SCORE BY PEN
ISCO TO SCORE



KIPINDI CHAPILI WATARUDISHA JUVE DK ZA MWISHo BALE/BENZIMA ATAWAINUA RMADRID NA KAZI KUISHIA HAPO
Hovyo!
 
kwa hii mechi navyoioana...atakayeanza kufungwa tuu ndo shughuli itakua imeishia hapo..hamna mambo za piga nikupige
 
Team Juve hapa, leo tunawapiga hao Dridi wala haina ubishi
 
DK 45
RMADEID 2-0
RONALDO TO SCORE BY PEN
ISCO TO SCORE



KIPINDI CHAPILI WATARUDISHA JUVE DK ZA MWISHo BALE/BENZIMA ATAWAINUA RMADRID NA KAZI KUISHIA HAPO

Mkuu kumbe kuna fainali nyingine? RMADEID anacheza na timu gani, kombe gani?
 
Haya wakuu tujisogeze karibu na vyanzo vyetu Vya mechi...mtanange upo mbioni kuanza sahivi,naona wachezaji bado wanapasha.
 
Kwasasa kuna performance ya ufunguzi inafanyika uwanjani...msanii anaimba na kuna dance pia
 
Kwasasa kuna performance ya ufunguzi inafanyika uwanjani...msanii anaimba na kuna dance pia
 
Expert prediction

Luís Figo, a winner with Real Madrid in 2002
Anything is possible in football. Juventus's defensive structure is strong, but Real Madrid's attack is also very dangerous, which is why I think the duels will be interesting. Whoever wins more individual battles will come out on top. I think it will be an interesting contest pitting two different styles against each other, with two very strong football cultures and great players.
 
Back
Top Bottom