middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,308
- 1,690
Eti Benzema ndio mfungaji.Mkuu ukubali tu Monaco wana attacking force nzuri zaidi ya Madrid. Laiti kama Semi final Madrid angecheza na Monaco muda huu huenda tungekuwa tunaongea kifaransa zaidi na kiitaliano.
Eti Benzema ndio mfungaji.
Na hapo ndipo palipo na shughuli pevu hapo kesho sidhani kama Mid za Juve zitakubali Mid za Madrid zilete madhara.Madrid sema wametokea kuwa na best midfield in the world, ndicho kinachowafanya wanakuwa vizuri, otherwise hali ingekuwa sio kabisa pale.
Madrid sema wametokea kuwa na best midfield in the world, ndicho kinachowafanya wanakuwa vizuri, otherwise hali ingekuwa sio kabisa pale.
Ile ilikuwa kali sanaSijui ni mimi tu, lakini fainali hii ya mwaka huu imekuwa na msisimuko wa aina yake, naifananisha na ile ya mwaka 2008 Man Utd vs Chelsea.
All in all, atakayekuwa kuwa mjanja wa kumsoma mwenzake vizuri ndiye atakaye shinda.
Ndyo jamaa atabebaMassimiliano Allegri will attempt to banish the demons of that night by claiming the Bianconeri's third European title in Wales.
Je kocha Huyo Wa Juve atafanikiwa???
Hovyo!DK 45
RMADEID 2-0
RONALDO TO SCORE BY PEN
ISCO TO SCORE
KIPINDI CHAPILI WATARUDISHA JUVE DK ZA MWISHo BALE/BENZIMA ATAWAINUA RMADRID NA KAZI KUISHIA HAPO
DK 45
RMADEID 2-0
RONALDO TO SCORE BY PEN
ISCO TO SCORE
KIPINDI CHAPILI WATARUDISHA JUVE DK ZA MWISHo BALE/BENZIMA ATAWAINUA RMADRID NA KAZI KUISHIA HAPO