Kiba ni overrated musician hii video ya kawaida tu alafu story ndio sijaielewa.
Sasa habari za domo unazileta za nini hapaWe nae kwani kufuatilia mziki mpaka uwe unaandika andika humu jf manake hutaki huyo Kiba wako akosolewe au apewe ukweli hata kidogo maana unamsujudia utafikiri ndiye aliyekuumba Na watu Kama nyie ndiyo mnaompoteza huyo King wenu.
Kiukweli mbayaaaaaaaaaaaaaaa!!!
SUBIRA ya Kassim iko poa sana
Mkuu kama mbaya nenda basi kaangalie tangazo lenu la Dr.Mwaka.
Sisi hapa kila mtu anataka kugharamia.
hehehehehe tunawacheka kwa dharau
Mbona Bella ndo kajiachia na kujituma Sana kama ndo nyimbo ake hivi?
Mbna kiba Kama anaona aibu kwa Camera hivi? Kama kashirikishwa
Napenda pale Bella anapo kata mauno na kujiachia
Hii nyimbo Audio + video bila bella sijui ingekuwaje
Mkuu mbona hata nyie Dr.mwaka ndiyo kamfunika Mondy kwenye ile kaswida yenu!!!
Hehehehe tunawacheka kwa dharau.
Rocket kurudi kinyume nyume imekushinda?
Mkuu hata title ya wimbo wa msanii wako mpendwa mbona ina kushinda? Huo wimbo kupigwa sana france haitomsaidia kama hapa nchini nyimbo haipati air time ya kutosha...!
Soko kuu la muziki wa Alli liko Tanzania..
anaweza kupafika hapa #The WorldWideAct.