Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Mbona Bella ndo kajiachia na kujituma Sana kama ndo nyimbo ake hivi?

Mbna kiba Kama anaona aibu kwa Camera hivi? Kama kashirikishwa
Napenda pale Bella anapo kata mauno na kujiachia

Hii nyimbo Audio + video bila bella sijui ingekuwaje
 
Twende mbele turudi nyuma video ndio kila kitu kwenye muziki wa sasa hivi. Huu wimbo sikuwai kukaa kuusikiliza leo ndio mara yangu ya kwanza nafanya replay wimbo wa Kiba. Kiba ajifunze kutoa video na audio angefanya hivyo huu wimbo ungekuwa mkubwa ila ndio hivyo tena its too late.
 
We nae kwani kufuatilia mziki mpaka uwe unaandika andika humu jf manake hutaki huyo Kiba wako akosolewe au apewe ukweli hata kidogo maana unamsujudia utafikiri ndiye aliyekuumba Na watu Kama nyie ndiyo mnaompoteza huyo King wenu.
Sasa habari za domo unazileta za nini hapa
 
Kiukweli mbayaaaaaaaaaaaaaaa!!!

SUBIRA ya Kassim iko poa sana

Mkuu kama mbaya nenda basi kaangalie tangazo lenu la Dr.Mwaka.

Sisi hapa kila mtu anataka kugharamia.

hehehehehe tunawacheka kwa dharau
 
Mbona Bella ndo kajiachia na kujituma Sana kama ndo nyimbo ake hivi?

Mbna kiba Kama anaona aibu kwa Camera hivi? Kama kashirikishwa
Napenda pale Bella anapo kata mauno na kujiachia

Hii nyimbo Audio + video bila bella sijui ingekuwaje

Mkuu mbona hata nyie Dr.mwaka ndiyo kamfunika Mondy kwenye ile kaswida yenu!!!

Hehehehe tunawacheka kwa dharau.
 
kuna mabest zangu wako masomoni USA, FRANCE na ITALY,wanasema radio za uko duniani zinapiga sana wimbo wa NAGHARAMIKIA wa KING KIBA. K 4 REAL. big up mkubwa
 
Mkuu hata title ya wimbo wa msanii wako mpendwa mbona ina kushinda? Huo wimbo kupigwa sana france haitomsaidia kama hapa nchini nyimbo haipati air time ya kutosha...!
Soko kuu la muziki wa Alli liko Tanzania..
 
mkuu kimataifa ni muhimu sana
 
Mkuu kwa swali lako ulilouliza juzi jibu Ni kwamba rockets zina gea ya rivasi pia, kwahiyo Kama kurudi kwenye kinu chake Ni kitu easy Tu. Inaridi nyuma nyuma
 
ali kiba video bado hawez-kuimba yupo safi-video zake kwangu bado si nzuri sana
 
Back
Top Bottom