Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Nimeipenda video" script iko poa story inaeleweka" video haina mbwembwe nyingi. Nice 1. Haichoshi
 
Kwa wapenzi wa musizi, tukiweka figisu figisu pembeni.

Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kumpa pongezi Ally Kiba kwani kwa kiasi fulani amajitahidi kujibu lawama kwa vitendo kwenye hii video.

Tofauti na matarajio ya wengi kwamba historia yake ingejirudia ya kutoa video ambazo kidogo zinakuwa hazipendwi saana, ila for this Kiba amejitahidi. Video kuendana na story, rangi nzuri, scene. Location, daah hongera Kiba.

Wengine huwa tunakuponda ili ujirekebishe na sio kukuangusha. We always need Kiba upige hatua kufikia uwezo wako.


Sasa hapo ni nini kiliwapeleka SOUTH?????????????????????????????????????????????
 
Last edited by a moderator:
Pwilo bwana!nani ameshoot hiyo video namaanisha director?!labda hujui ni wapi unaweza fungua ukapata hizo data huko youtube maana unhekua unajua ungenielewa!

Bonyeza kulia kwenye kimshale kidogo kinachoangalia juu itakupeleka kwenye maelezo yote ya wimbo husika,umetolewa lini na kadhalika.

Haina maelezo ya kueleweka bwana ile nyimbo tuseme tu ukweli pwilo,kusema ukweli sio dhambi
Director huyo hapo mkuu, ila inatakiwa ajifunze kuweka details za wimbo YouTube ili kujitangaza kwa wasiojua kiswahili
 

Attachments

  • 1450688175317.jpg
    1450688175317.jpg
    9.2 KB · Views: 220
Mnapo sema ally kiba ana sauti mna maanishaga nn ...

Maana naamini kila msanii ana sauti nzuri inayopendwa na watu na labda tuseme huwa mnamaanisha sauti nzuri ukizaja list ya wanamuziki Tanzania wenye uwezo wa kucheza na sauti zao hawezi ingia top ten..hyo concept inanipa shida sana kuielewa
Hivi mwanaume kuwa na wivu ni nini maana yake?
 
Mimi naendelea kuwashauri maadui wa Mindi kubadili msimamo na kuwa wapenzi wa Kiba. Mkifanya hivyo mtamsaidia huyu mtu maana Kiba ubunifu unaelekea ukingoni.

Kama kweli maadui wa Mondi mpo serious nunueni kazi za Kiba na kuhudhuria matamasha yake. Msaidieni mwenzenu.
 
Back
Top Bottom