muhuwesichimalamyasi
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 306
- 132
kwa video hii amejitahd kidogo,lakin haiwez kumpatia tuzo za kimataifa........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo ni nini kiliwapeleka SOUTH?????????????????????????????????????????????Kwa wapenzi wa musizi, tukiweka figisu figisu pembeni.
Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kumpa pongezi Ally Kiba kwani kwa kiasi fulani amajitahidi kujibu lawama kwa vitendo kwenye hii video.
Tofauti na matarajio ya wengi kwamba historia yake ingejirudia ya kutoa video ambazo kidogo zinakuwa hazipendwi saana, ila for this Kiba amejitahidi. Video kuendana na story, rangi nzuri, scene. Location, daah hongera Kiba.
Wengine huwa tunakuponda ili ujirekebishe na sio kukuangusha. We always need Kiba upige hatua kufikia uwezo wako.
Director huyo hapo mkuu, ila inatakiwa ajifunze kuweka details za wimbo YouTube ili kujitangaza kwa wasiojua kiswahiliPwilo bwana!nani ameshoot hiyo video namaanisha director?!labda hujui ni wapi unaweza fungua ukapata hizo data huko youtube maana unhekua unajua ungenielewa!
Bonyeza kulia kwenye kimshale kidogo kinachoangalia juu itakupeleka kwenye maelezo yote ya wimbo husika,umetolewa lini na kadhalika.
Haina maelezo ya kueleweka bwana ile nyimbo tuseme tu ukweli pwilo,kusema ukweli sio dhambi
Hivi mwanaume kuwa na wivu ni nini maana yake?Mnapo sema ally kiba ana sauti mna maanishaga nn ...
Maana naamini kila msanii ana sauti nzuri inayopendwa na watu na labda tuseme huwa mnamaanisha sauti nzuri ukizaja list ya wanamuziki Tanzania wenye uwezo wa kucheza na sauti zao hawezi ingia top ten..hyo concept inanipa shida sana kuielewa