Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Nimeipenda video" script iko poa story inaeleweka" video haina mbwembwe nyingi. Nice 1. Haichoshi
 
Sasa hapo ni nini kiliwapeleka SOUTH?????????????????????????????????????????????
 
Last edited by a moderator:
Director huyo hapo mkuu, ila inatakiwa ajifunze kuweka details za wimbo YouTube ili kujitangaza kwa wasiojua kiswahili
 

Attachments

  • 1450688175317.jpg
    9.2 KB · Views: 220
Hivi mwanaume kuwa na wivu ni nini maana yake?
 
Mimi naendelea kuwashauri maadui wa Mindi kubadili msimamo na kuwa wapenzi wa Kiba. Mkifanya hivyo mtamsaidia huyu mtu maana Kiba ubunifu unaelekea ukingoni.

Kama kweli maadui wa Mondi mpo serious nunueni kazi za Kiba na kuhudhuria matamasha yake. Msaidieni mwenzenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…