Officially nampitisha Harmonize kama msanii bora 2018

Officially nampitisha Harmonize kama msanii bora 2018

Mmh ndugu ume mmblame bure tu, coz Kwa kuzingatia kazi ya msanii anaruhusiwa outbreak up grammatical rules ili kufikish intended message
Ni pale inapolazimika tuu kwamba hakuna jinsi na unavyovunja namna hiyo unakuwa unajua . Kilichopa hapa ni tofauti kabisa, yeye wala hajui kama amefanya kaso na aliyetakiwa kulijua kosa hilo na kumwambia/ kumrekebisha " kama yupo" hakuifanya kazi h iyo. Ni rai yangu kuwa ukishafikia level flani ya usanii ujumbe unaoutoa unasamba k wa wengi, werevu na wajinga hivyo wjitahidi sii tuu kuwa na wakataviouno wa video lakini bali wataalamu wa idara mbalimbali kama wa lugha ili kuhakikisha anapotoa kitu kwenye jimii basi kina lika bila maswali
 
Dogo anakamua hatari,,amepiga shoo nyingi ndani ya mwezi wa saba na zote sold out,,Wiki iliyopita alikuwa Kenya(mombasa na Nairobi)shoo zote sold out na shangwe la hatari kama lote..Pia anaishi kistaa..Mmakonde nimempa saluti,yuko siriaz na game..Anachokipata anakistahili kabisa..
 
Ni pale inapolazimika tuu kwamba hakuna jinsi na unavyovunja namna hiyo unakuwa unajua . Kilichopa hapa ni tofauti kabisa, yeye wala hajui kama amefanya kaso na aliyetakiwa kulijua kosa hilo na kumwambia/ kumrekebisha " kama yupo" hakuifanya kazi h iyo. Ni rai yangu kuwa ukishafikia level flani ya usanii ujumbe unaoutoa unasamba k wa wengi, werevu na wajinga hivyo wjitahidi sii tuu kuwa na wakataviouno wa video lakini bali wataalamu wa idara mbalimbali kama wa lugha ili kuhakikisha anapotoa kitu kwenye jimii basi kina lika bila maswali
Ni kweli mkuu,,ukizingatia na nyimbo zinasikilizwa na watoto pia ambao hawajui lolote kwahiyo wanameza errors kama zilivyo..
 
Konde ana lucha nchale... ana wachoma nchale
 
So far kafanya vizuri..ila imebakia miezi minne mwaka umalizike...kuna MTU anaweza kutoa hit song mfano wa hakunaga,majanga,Aje,Number one nk mkaisahau kwangwaru
 
Huu ni mwaka wa Ali Kiba, kaoa bibi mrembo kuliko wanawake wote wa Mombasa, kafanikiwa kusajiliwa ligi kuu Tanzania Bara na dadaake kaolewa ili apate heshima. WCB wanasubiri sana mwaka huu
 
yaani unataka kuniambia huyo kijana kafanya vizuri kuliko aslay,kweli watu tumatafautina masikio na taste.
 
Ni moja ya masanii ambaye sijawai elewa anachoimba..
Simtofautishi na sjui luludiva,maromboso,lavalava,saida kaloli nk nk
Wewe umewahi kuimba nini!? Hata Diamond wakati anaanza alikutana na watu waliojali ustawi wa wenzao kama wewe lakini Leo ana mafanikio asiyokuwa nayo mwanamuziki yeyote nchi hii. Waache wanaohituma waendelee wewe kamshangilie Kiba100!
 
Back
Top Bottom