Ni pale inapolazimika tuu kwamba hakuna jinsi na unavyovunja namna hiyo unakuwa unajua . Kilichopa hapa ni tofauti kabisa, yeye wala hajui kama amefanya kaso na aliyetakiwa kulijua kosa hilo na kumwambia/ kumrekebisha " kama yupo" hakuifanya kazi h iyo. Ni rai yangu kuwa ukishafikia level flani ya usanii ujumbe unaoutoa unasamba k wa wengi, werevu na wajinga hivyo wjitahidi sii tuu kuwa na wakataviouno wa video lakini bali wataalamu wa idara mbalimbali kama wa lugha ili kuhakikisha anapotoa kitu kwenye jimii basi kina lika bila maswali