OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

Acha masikhara mzee baba uyo ndo demu wakumzidi official Lynn?naona unazeeka vibaya.
 
Acha masikhara mzee baba uyo ndo demu wakumzidi official Lynn?naona unazeeka vibaya.
Mtoto ananimaliza hasa huo mwanya! Kama Vp niconnect nae aanze kula hela zangu mapema kabla corona haijakolea...
 
Attachments

  • 9DB541DD-F9BC-414A-B786-3F9D030A7546.jpeg
    9DB541DD-F9BC-414A-B786-3F9D030A7546.jpeg
    151.2 KB · Views: 6
Mtoto ananimaliza hasa huo mwanya! Kama Vp niconnect nae aanze kula hela zangu mapema kabla corona haijakolea...
Kwa uzuri hamna kitu hapo kazidiwa na official Lynn by far ila kwa style za mitego yupo vizuri.
 
Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".

Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.

View attachment 1409107

Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Biashara matangazo hata buku 7 anachukua huyo,anataka mwanaume mwenye pesa wakati mwenyewe ni lofa tu
 
Back
Top Bottom