OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

Uyu mtoto hana uzuri wowote namjua sana mtoto wa buguruni uyu afu kwao maisha ni ya kawaida mnoo sana tena namjua toka akiwa bado anasoma akaacha shule form two sababu ya dick afu ni mfupi sana msipagawe na izo HD za camera
Daaah! Uzi na#59 ameeleza kuwa aliacha Shule form 4, mwanzoni, kwamba hakumaliza form four. Wewe unasema form Two aliacha. Sijui yupi Sasa ndiyo mkweli Kati yenu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Presenter: ulishawahi kujutia pengine kutoa mimba yake?
OfficialLynn: sijawahi, mimi sijawahi kutoa mimba yake kwanza, sijawahi.

Kama hajawahi kutoa mimba yake si angekuwa na mtoto? Au ndio jibu kuwa hajawahi kupewa mimba na bwana yule?

 
Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".

Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.

View attachment 1409107

Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Yupo sahihi.
 
Back
Top Bottom