makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Umechukua matukio machache, kuna baadhi ya matukio, kina mbappe na vinicius wenyewe walizinguwa.Kadri unavyozidi kuwakimbia ndivyo unavyorudi nyuma
Mwisho wa siku walijikuta wapo kati kati ya mstariView attachment 3137475
Hapa Madrid wanapiga faulo angalia mpira ndio unapigwa haujapaa
Madrid wapo offside watu 6 kwa mpigo
Muangalie refa
Hapo hata kama refa ni tatu malogo anaachaje kuona😆
Halafu hao watatu wa barca ndio wanakimbia kuokoa huku wengine zaidi ya 7 wakilikimbia goli
Hii mkuu ipo kiufundi usichukulie poa
Katika thread yako, picha ya pili nadhani inaonesha barca wameweka mtego wa offside vinicius kauvunja na valverde kaweka pasi moja mbele.