The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Najaribu kufikiria kama huyu mwanamke alikuwa anajijua hana kosa kwanini alipomuona Mumewe kaja hapo Bar alianza kutoka ndukiihapa hapasemwi ukweli watu watakuona mkosaji
zuga unampa pole marehemu ili usisemwe vibaya
Najaribu kufikiria kama huyu mwanamke alikuwa anajijua hana kosa kwanini alipomuona Mumewe kaja hapo Bar alianza kutoka ndukii
Yawazekana maana pia hii habari inasema walikuwa na msuguano hapo kabla mauti hayajamkuta huyu marehemu mumewe, amyways kama ulivyosema ukweli wa jambo hili analijua mke wa marehemu maana jamaa tayari ndio hivyo kaishajiua.The Finest..kukimbia kwa huyu dada kunaweza kusababishwa na mengi
1. Pengine walikuwa na ugomvi nyumbani so kumwona bar akajua atatembezewa kichapo
2. Pengine anajua mumewe ana hasira sana na huwa si mwelewa kirahisi (Ingawa hapa hakupaswa kabisa kumchezea simba masharubu) akaona akimbie ili baadae wakaeleweshane mbele kwa mbele bila kuaibishana
3. Pengine kweli alikuwa ana makosa - kukaa na huyo mwanaume bar!
So kumjudge tu moja kwa moja si kumtendea haki....ukweli wa hili jambo wanaujua wenyewe.
Yawazekana maana pia hii habari inasema walikuwa na msuguano hapo kabla mauti hayajamkuta huyu marehemu mumewe, amyways kama ulivyosema ukweli wa jambo hili analijua mke wa marehemu maana jamaa tayari ndio hivyo kaishajiua.
nafikiri kuolewa ni mambo ya kizamani sana!!!!!!!!sina mpango huo kabisa
NN bana lol, hapa naona unapima oil au sio? Hivi somo wako kapotelea wapi siku hizi??? I mean NN (NoName)Women are so innocent, so pristine, and so wholesome to even think of cheating on their men. I refuse to accept that proposition.
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
Nakumbuka it was a sad storyHii habari nimeisikia tangu jana yaani nimejikuta nawaza mambo mengi sana utadhani yanihuu.....yaani ngoma si yangu lakini nimeivalia kibwaya karibu usiku kucha.........
...............unakumbuka mwaka flani Arusha, bwana mahesabu mmoja alimshoot mkewe kisha akajishoot na yeye......... Hawa hawakuwa na ugomvi kabiosa but mke (yeye alibahatika kupona kwani alishootiwa kwenye bega kama nakumbuka vizuri)........alisema kuwa bwana alikuwa na matatizo kazini!!. Sasa hivi hizi silaha duh......kwa nini zisiwe zinauzwa kwa mtu baada ya kumfanyia assessment ya nguvu including mambo ya hasira, uwezo wake wa kuhimili vishindo n.k n.k??
Nawaza tu mie mambo ya sheria wala silaha siyajui.
Aiseejamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
Kwahiyo ukiwaza kuolewa unaanza kufikiria matatizo ya wengine.nafikiri kuolewa ni mambo ya kizamani sana!!!!!!!!sina mpango huo kabisa
Inasikitisha sana ....
Mapenzi yasiyo na msingi ni ushenzi. Jamaa mwenyewe(mwizi ) alikuwa friend wa karibu na marehemu, na mwanzoni pindi maneno juu ya hayo mahusiano yalipoanza kuzagaa mwanaume (marehemu) alimfata na kumwuliza then akamwonya. Ktk ile kukimbizana usiku jamaa(mwizi) ashukuru alishushiwa njiani, vinginevyo ingemkumba na yeye. Kwa taarifa za kuaminika zinasema jamaa (mwizi) kwa sasa ni mwanafunzi wa st.john's university ambaye kikazi ni Askari polisi. Mpaka sasa yupo kituoni anachukuliwa maelezo na polisi, pia amehifadhiwa kwa usalama wake!