jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!