The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Halafu watu wanaotembea na wake za watu huwa wanajifanya vidume kweliMapenzi yasiyo na msingi ni ushenzi. Jamaa mwenyewe(mwizi ) alikuwa friend wa karibu na marehemu, na mwanzoni pindi maneno juu ya hayo mahusiano yalipoanza kuzagaa mwanaume (marehemu) alimfata na kumwuliza then akamwonya. Ktk ile kukimbizana usiku jamaa(mwizi) ashukuru alishushiwa njiani, vinginevyo ingemkumba na yeye. Kwa taarifa za kuaminika zinasema jamaa (mwizi) kwa sasa ni mwanafunzi wa st.john's university ambaye kikazi ni Askari polisi. Mpaka sasa yupo kituoni anachukuliwa maelezo na polisi, pia amehifadhiwa kwa usalama wake!
Tatizo wanaume wanafikiri utamu wanaujua wao tu, huyo mkewe kamfumania mara nyingi tu mbona hakumshoot? RIP marehemu kwa uvivu wa kufikiri
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
Mapenzi yasiyo na msingi ni ushenzi. Jamaa mwenyewe(mwizi ) alikuwa friend wa karibu na marehemu, na mwanzoni pindi maneno juu ya hayo mahusiano yalipoanza kuzagaa mwanaume (marehemu) alimfata na kumwuliza then akamwonya. Ktk ile kukimbizana usiku jamaa(mwizi) ashukuru alishushiwa njiani, vinginevyo ingemkumba na yeye. Kwa taarifa za kuaminika zinasema jamaa (mwizi) kwa sasa ni mwanafunzi wa st.john's university ambaye kikazi ni Askari polisi. Mpaka sasa yupo kituoni anachukuliwa maelezo na polisi, pia amehifadhiwa kwa usalama wake!
Unajiua bcoz of fvcking chick? aisee mie siezi fanya huo ujinga.
Isshhhhh,...hebu temea pembeni kaka. Hujafa hujaumbika.
Sote tunamajisifu kama hayo, lakini dunia mbaya aisee..!
Mapenzi yasiyo na msingi ni ushenzi. Jamaa mwenyewe(mwizi ) alikuwa friend wa karibu na marehemu, na mwanzoni pindi maneno juu ya hayo mahusiano yalipoanza kuzagaa mwanaume (marehemu) alimfata na kumwuliza then akamwonya. Ktk ile kukimbizana usiku jamaa(mwizi) ashukuru alishushiwa njiani, vinginevyo ingemkumba na yeye. Kwa taarifa za kuaminika zinasema jamaa (mwizi) kwa sasa ni mwanafunzi wa st.john's university ambaye kikazi ni Askari polisi. Mpaka sasa yupo kituoni anachukuliwa maelezo na polisi, pia amehifadhiwa kwa usalama wake!
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
Kiongozi hapo panahusika sana....
Nina mashaka na recount ya hii story,,,,, si ajabu kinachoelezwa kwenye media na kamanda wa polisi na watu wengine sio hasa kilichotokea
What if, kama ilitokea hivyo, nani anajua kama huyoaskari polisi alikuwa naye na silaha? Maana kama aliwakuta baa, na (sasa hivi umetuambia tena aliwakuta kwenye gari) lets take it kwamba aliwakuta baa, wakaanza kukimbizana, nani anajua kama walifika njiani kukawa na shoot out na jamaa kwa vile ni askari akamwahi mume wa huyo mwanamke?
Walivokuwa wanakimbizana, marehemu alikuwa na gari au alikuwa kwa miguu? Na je, kwa nini kuwe na majibu mawili ya alikojipiga risasi, polisi wanasema kichwani, ndugu wanasema tumboni/ubavuni (which means sio rahisi mtu kujipiga risasi mwenyewe maeneo hayo?)
najaribu tu kuplay a devil's advocate here..tusichukulie tu kwamba jamaa alijipiga risasi inawezekana kuna mengi hatuyajui hapa....
This is a cooked story.
Hakuna hata mtu mmoja aliyejitokeza akasema ndiye alimpeleka hospitali kutoka eneo la tukio au ndiye aliyemjulisha marehemu kwamba mke wake alikuwa na hawara. Inasemekana hata simu yake haikupatikana. Watu wa usalama watatusaidia ikifikia mahali pa kuchunguza kifo cha marehemu.
Ukweli ni kwamba marehemu aliuwawa na majambazi (Kama alivyouwawa mumewe wa kwanza huyo Vicky). Pia marehemu alipigwa risasi za ubavuni na si kifuani au kichwani kama media zinavyoripoti, na huyo mkewe hajashootiwa hata risasi moja.
Tunaomba polisi na watu wa usalama mfanye kazi yenu. Ndugu yetu Fredy hawezi kuwa na amani huko alipo mpaka haki itendeke.
BTW: Kwanini Vicky waume zake wote wanakufa kwa risasi na vifo vyao ni vya kutatanisha? Usalama naomba muanze naye kwanza, isije ikawa ndo anatafuta mali kwa kutuulia ndugu zetu
hivi huyo viki ni mzuri sana au ana nini?This is a cooked story.

Sasa kwa nini umekataa kuolewa? umri wako ni sawa kabisa kuwa na mume wako na watotowala mwanake kuwa na miaka 34 sio sababu ya kuoa sababu mimi hapa nilipo nina umri huo na vijana zaidi ya 5 wenye pesa kushinda mimi walishataka kunioa na wote niliwakaaa amebaki mmja naona anasubiri Mungu atende miujiza ,so walioaana sema ndo hivyo mengine ni matokeo tu.
wala mwanake kuwa na miaka 34 sio sababu ya kuoa sababu mimi hapa nilipo nina umri huo na vijana zaidi ya 5 wenye pesa kushinda mimi walishataka kunioa na wote niliwakaaa amebaki mmja naona anasubiri Mungu atende miujiza ,so walioaana sema ndo hivyo mengine ni matokeo tu.