Kiongozi hapo panahusika sana....
Nina mashaka na recount ya hii story,,,,, si ajabu kinachoelezwa kwenye media na kamanda wa polisi na watu wengine sio hasa kilichotokea
What if, kama ilitokea hivyo, nani anajua kama huyoaskari polisi alikuwa naye na silaha? Maana kama aliwakuta baa, na (sasa hivi umetuambia tena aliwakuta kwenye gari) lets take it kwamba aliwakuta baa, wakaanza kukimbizana, nani anajua kama walifika njiani kukawa na shoot out na jamaa kwa vile ni askari akamwahi mume wa huyo mwanamke?
Walivokuwa wanakimbizana, marehemu alikuwa na gari au alikuwa kwa miguu? Na je, kwa nini kuwe na majibu mawili ya alikojipiga risasi, polisi wanasema kichwani, ndugu wanasema tumboni/ubavuni (which means sio rahisi mtu kujipiga risasi mwenyewe maeneo hayo?)
najaribu tu kuplay a devil's advocate here..tusichukulie tu kwamba jamaa alijipiga risasi inawezekana kuna mengi hatuyajui hapa....