Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Hii ilikuwa mwaka huu mwanzoni nnchini Korea, our beloved friend alisota sana hadi kufanikiwa kumaliza salama masomo yake, amerudi bongo hata miezi sita haijaisha maisha yake yamekatika kwa ajili ya mwanamke. Kama maiti ingekuwa inaongea, naamini marehemu angesimulia ukweli kama kajiua au kauiwa na huyu mwanamke matata.

RIP my dear friend, you will alwys be in my heart.
 



Fredy, ulikuwa very young na handsome, ungejikaza kiume Mungu angekupa mwanamke bora. Your images will always be our eyes. Umenihuzunisha sana.
 

Upo sahihi kabisa mkuu, sema kwa tanzania yetu hii sijui kama marehemu atapewa haki yake, mimi nimeumia sana maana alikuwa a very close friend of mine. Cha kupigania kwa sasa ni walau wadogo zake ambao ni yatima wapate mgao wa mali za marehemu Fredy na alizoachiwa na wazazi wake kabla huyu mwnamke ajawadhulumu. Kweli si kila mwanamke wa kuoa.
 
Kujiua hataaaa wakikumegea wako nawe unatafuta wa mnyonge mwenzio unammega then ngoma droo wanawake wote waliopo then unajiuaaa hataaa kuna problem zaidi ya tatizooo
 




Fredy, ulikuwa very young na handsome, ungejikaza kiume Mungu angekupa mwanamke bora. Your images will always be our eyes. Umenihuzunisha sana.

hata siamini kama nyie huyu alikutwa na mauti
 




Fredy, ulikuwa very young na handsome, ungejikaza kiume Mungu angekupa mwanamke bora. Your images will always be our eyes. Umenihuzunisha sana.

Hii haiwezekani bana! Toka lini wanawake wameanza kuchiti? Wanawake huwaga hawachiti bana. Huyo jamaa maisha tu yamemshinda na akaamua kujiua sasa wanamsingizia infii mkewe.

KIPI NI KIPI SASA,
ila ukweli ni kwamba wanawake wana chiti maana mimi nilishakuwa na marafiki wanakula wake za watu tena kwa hao wanawake kuanzisha, inasikitisha sana lakini
 
May he rest in peace. Hivi jamani sijui kwanini? watu wanaona bora kufa wakati watu wazuri wapo kibao.
 
 
. Mungu tuepushie mbali. KPP (Kalale Pema Peponi) Fred Kaombwe.
 
gaga soma yafuatayo chini

jamaa kaniuma sana,nasikia akiwa korea alikuwa akituma magari ya kuuza kwa mkewe kama kawaida,lakini kuna gari moja lake, very expensive alituma kwa mkewe vick,aliporudi hakulikuta hapo ndipo issue ilipoanzia,kuhusu kumfumania ashamfumania mara kibao,ila hiyo gari ndio ilikuwa tatizo kila leo...mi naona upelelezi wa kina ufanyike..hiki kifo si bure...r.i.p fred
 
Kweli .enzi za Tembo beach .peninsula. Tina kamgisha.Anastela
.mwembeseco.
mkuu kuna na Miriam helman hapo kahama sec, nakumbuka cku 1 aliumwa malaria akiwa dom no. 1 alianzakulia kwa sauti akidai mpenzi wake miriam aitwe (aje kny bwen la boys) ilibidi matron aitwe, Fred alizid kulia matron ilimbidi amwagize yule binti aje, ndo jamaa kutulia baada ya kukaa na miriam kwa mda wa saa kama 1, episod izo zilijirudia kwa siku tofauti na kitulizo chake alikuwa ni miriam!
 

hii kitu kama movie vile?
the guy was still young
RIP
 
hii kitu kama movie vile?
the guy was still young
RIP



kwa maelezo hayo inaoneka jamaa alikuwa anapenda kupitiliza
ndoa hizi ni ndoano
 
Kujiua ni ugonjwa wa akili unaweza kumpata mtu yeyote kwa sababu mbalimbali kama kupoteza mapenzi, utajiri, heshima etc.
 
Haya ndio matatizo ya kufikiri kuwa wewe hujitoshi mpaka ukamilishwe na mtu mwingine!Pia na ugonjwa wa utegemezi wa hisia,yani unamtegemea mtu mwingine akufanye ujisikie vizuri!Kila mtu ni kamili haijalishi una mke/mume au mpenzi!
 


kweli unampata marehemu kiasi flani,nakumbuka tukiwa wadogo hadi tunakua, alikuwa anapenda sana kulia tena kwa sauti pindi anapokasirishwa. Mwaka huu nikaanza kumtania kuwa unakumbuka jinsi ulivyokuwa unalia unalia hadi umri mkubwa?...akacheka saana.Then akaniambia ilikuwa ni only way ya kusikilizwa....maskini Fredy ntacheka na nani tena? RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…