VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,900
- 581
Hahahaha nikucheke na wewe .Naweza sema naelewa uchungu wako ,sawa na waTZ wengi tuu nawanao tuhumu watu kwa maneno ya kusikia .Kama una data kamili unashindwaje kujua Vicky kajeruhiwa ?, inaoneysha unapend akudandia habari bila kupata facts . Eti gari limetumwa, eti mimba, hiyo si cheating kama alivyo kuwa na cheat wakati kaolewa na Deo ambapo huyu Freddy alikua mmoja wa wapenzi wake.
Haya una data toa hizo data Deo huku uhusiano wa Vicky na kifo cha Deo , umeshindwa kueleza Vicky alipo na hali yake ikoje, utajua Deo kauliwaje?
Acha porojo, kama una uchungu , kaa na uchungu ila sio kuhisi vitu ambavyo havipo, .hakuna plan ya mauaji halafu eti anaye panga ajipige risasi kujijerhi ili athibitishe mume kajiua wakati alipo jaribu kuua, sio uwezo wa Vicky huo.
Marehemu Fredy ana uwezo wa kuua ,kwani kaisha jaribu kumuua Vicky na kujiua yeye kwa wivu na hasira! Haitashangaza kujua ni yeye ndio aliye muua au kutuma watu kumuua Deo ili aweze kuoana na Vicky sababu ya kumpenda na kutoa kubali kumkosa kwa njia yeyete ndio maana akataka kumua Vicky na kujiua yeye ili wakose wote!
kwa maelezo yako VIKY najua FREDY ni muuaji, ina maana yeye viky hapendi kuishi,
je sio kwamba kafanya mbinu kumpoteza jamaa ili hawa na amani?
mimi naona wewe ndio umelikoroga kabisa kwa kujaribu kumtetea mtu unayempigilia msumari ya utosi