Ofisa usalama 'feki' anaswa

Ofisa usalama 'feki' anaswa

Ishu ya ponda inapotezewa[/QUOTE]

au kuna ishu mpya inaandaliwa hapa. Sijui itakuwa nini. Tz, naililia nchi yangu tu jamani
 
Tangia taifa hili litawaliwe na mafisadi kila sehem kimejawa na vitu na watu wenye nyadhifa fake
 
Watu wanaojiita Usalama ni wengi sana na hilo ni kosa, idara yenyewe ya Usalama imeshindwa kudhibiti hii hali, manake kweli kujiita usalama ni kosa kisheria lakini la pili ni kwamba unajiita ili iweje, sasa hilo kosa la pili manake sasa ukijiita usalama unatapeli au unajipatia favour flani, nachojua huu ulikua ugomvi wa kiwanja na ndio sababu huyu jamaa akakamatwa sasa kusema ni au sio usalama ni kazi ya polisi kudhibitisha, je kama amekua usalama kwann wao hawakumjua siku zote mpaka juzi kiwanja kilipoleta gogoro na kwamba hicho kiwanja kinahusisha ndugu wa mkuu wa polisi ilala, kumbe walikua wanajua ila sasa ni mchezo wa kutegeshana ukiingia anga zao wanakuliza wakati hujaingia anga wanajua ww ni mharfu ila wanakaa kimya maajabu ya Tanganyika hii!!

Taaluma ikikosa weledi lazima watu feki waingie. Mbona sijaona mtu akijofananisha na Usain Bolt anakiam for less than 10 second, ngumu kwani ngumu kufikia viwango hivyo, TISS et el yapasa mufanye reshafle kujua watu wenu wanaendana na kazi zao.
 
Tangia taifa hili litawaliwe na mafisadi kila sehem kimejawa na vitu na watu wenye nyadhifa fake
 
nimjuavyo huyu jamaa si mtu wa usalama namfahamu vizur sana, tushaingia nae ofisi nyingi kwa hicho cheo, kama humjui acha usitee, ila sita sema kwani alishanitishia maisha yangu
 
nimjuavyo huyu jamaa si mtu wa usalama namfahamu vizur sana, tushaingia nae ofisi nyingi kwa hicho cheo, kama humjui acha usitee, ila sita sema kwani alishanitishia maisha yangu

Mkuu.... Kwani anafahamu ID yako?? Hebu funguka!!"
 
mkuu nitafunguka, subiri nitafute vifaa vya kuzuia maumivu wakati wa kung'olewa MENO, KUCHA na KOPE kwasababu hayo mambo mtu hafanyi peke yake ni mtandao mkubwa tena kibaya zaidi hata TISS wanashiriki kwasababu unakuta TISS feki anakuwa rafiki mkubwa wa TISS wa kweli, hii humpa ujasiri wa kutapeli watu kwani hujua baadhi ya mbinu za tiss kupitia kwa marafiki zake, tofauti yao kubwa ni kuwa hawa TISS wa kweli hawasemi cheo chao mara nyingi ila hawa feki hujitambulisha kwa cheo ili uingie mkenge, hata kova alipomtambulisha hadharani alikuwa sahihi, ili watu wamjue wasitapeliwe tena, lakini pia wapo waliotapeliwa bila kujua wametapeliwa
 
Watu kama hawa ni wengi sana, na baadhi yao huwa wanapeleka taarifa za uongo kwenye chama fulani hivi cha siasa, halafu viongozi wa chama hicho huitisha mkutano na waandishi wa habari na kuueleza uma kwamba wamepewa taarifa kutoka ndani ya TISS, hahahahahaaaaa! Shame. Wanaokoteza vitaarifa vya uongo halafu wana exaggerate ili kufanikisha lengo lao! Endeleeni kuwatumia matapeli wanaojifanya TISS. Kuvuja kwa pakacha.....

Haha, mkuu emenena...
 
mkuu nitafunguka, subiri nitafute vifaa vya kuzuia maumivu wakati wa kung'olewa MENO, KUCHA na KOPE kwasababu hayo mambo mtu hafanyi peke yake ni mtandao mkubwa tena kibaya zaidi hata TISS wanashiriki kwasababu unakuta TISS feki anakuwa rafiki mkubwa wa TISS wa kweli, hii humpa ujasiri wa kutapeli watu kwani hujua baadhi ya mbinu za tiss kupitia kwa marafiki zake, tofauti yao kubwa ni kuwa hawa TISS wa kweli hawasemi cheo chao mara nyingi ila hawa feki hujitambulisha kwa cheo ili uingie mkenge, hata kova alipomtambulisha hadharani alikuwa sahihi, ili watu wamjue wasitapeliwe tena, lakini pia wapo waliotapeliwa bila kujua wametapeliwa

Bado tunakusubiri mkuu!!!
 
Ngoja tukusaidie ingawa ni nje ya thread,miaka ya 90 I mean 1990's hivi kulikuwa na tatizo sana na uwindaji wa ndovu kule tarangire/manyara!jamaa aliyekuwa anapiga biashara hii alikuwa mwarabu mmoja maeneo ya Galapo Babati,sasa kumpata nyendo zake na ushaidi ilikuwa kazi kweli!akatumwa TISS mmoja ambaye alipofika galapo akawa anajifanya ni kichaa,anabeba makopo mauchafu uchafu nk!yule mwarabu alikuwa na matrekta na mgahawa,basi jamaa akajijengea mazoea ya kwenda kuomba omba chakula pale,kwa sababu hakuwa akipiga mtu wala kuwa na neno na mtu ikawa rahisi kuzoeleka,taratibu jamaa akawa hata mwarabu akiwa na waarabu wenzie friends yeye anaenda na kuzunguka zunguka..hakuna aliyekuwa akimtiliia maanan as wote walijua ni kichaa!mshkaj alikusanya ushaid wa kutosha,audio as alikuwa akiwarecord,alipokuwa na uhakika na kujua huwa wanaficha wap pembe jamaa aka-organise police wakaja na defender,jamaa akamkamata mwarabu baada ya kumtolea na vitambulisho!watu wote hawakuamin kuwa yule kichaa ndo alikuwa TISS na kufanikiwa kumtia mikonon na ushahid juu wa uhakika mwarabu!to cut the story shot,go find anyone aliyetoka maeneo ya galapo huko babati ambaye ana miaka 30 plus/au alikuwa galapo miaka ya 90 hivi ,uulizie hii taarifa kama hujathibitishiwa.

huyo mwarabu anaitwa nani?
 
tatizo waandishi wetu hawafatilii habari mpaka mwisho ndio maana wanatumiwa na wanasiasa na watu wengine walitakiwa kujua kama yule mtu kashtakiwa kama hajashtakiwa kwanini kova alimtangaza ofisa usalama feki
 
Back
Top Bottom