Ofisa wa CIA apendekeza Marekani ishirikiane na Al Qaeda na ISIS kuiangusha Iran

Ofisa wa CIA apendekeza Marekani ishirikiane na Al Qaeda na ISIS kuiangusha Iran

1786254818331.png
 
Waliweza kushinda na ukaanguka Umoja wa Soviet lkn👈
Lkn UISLAM kila wakijitekenya wanagundua Matokeo ni vice-versa bado ndani ya Ulimwengu ndio Dini inayakuwa kuliko zote✍️

Tatizo la kwanza kwa Mzungu

Wakati Uislamu unaendelea kukuwa zaidi
Manake kuendelea kukuwa uku kunapingana mojakwamoja na Utamaduni wa Kizungu ❗️

Tatizo la pili kwa Mzungu
Pamoja na ukweli ulimwengu umekuwa kwenye mahaba makubwa ya kuiga utamaduni wa Wazungu👈

lkn Utamaduni wa Usodoma ulimwengu umegomea!!

Madhara yake jamii ya Wazungu ipo chini sana kwenye kuzaliana

tofauti na ulimwengu mwengine👈

So Mzungu.
Uislamu kwake ni Tatizo kubwa sababu unapingana na Tamaduni yake👈

Ndiomana wanafanya propaganda nyingi kuupinga na kuuvalisha nguo mbaya mbaya✍️.
 
Waliweza kushinda na ukaanguka Umoja wa Soviet lkn👈
Lkn UISLAM kila wakijitekenya wanagundua Matokeo ni vice-versa bado ndani ya Ulimwengu ndio Dini inayakuwa kuliko zote✍️

Tatizo la kwanza kwa Mzungu

Wakati Uislamu unaendelea kukuwa zaidi
Manake kuendelea kukuwa uku kunapingana mojakwamoja na Unamaduni wa Kizungu ❗️

Tatizo la pili kwa Mzungu
Pamoja na ukweli ulimwengu umekuwa kwenye mahaba makubwa ya kuiga utamaduni wa Wazungu lkn Utamaduni wa Usodoma ulimwengu umegomea!!
Madhara yake jamii ya Wazungu ipo chini sana kwenye kuzaliana tofauti na ulimwengu mwengine👈

So Mzungu.
Uislamu kwake ni Tatizo kubwa sababu unapingana na Tamaduni yake
Ndiomana wanafanya propaganda nyingi kuupinga na kuuvalisha nguo mbaya mbaya✍️.

Na waislamu kama vile akina Mamdani, Tlaib, Ilhan Omar na Al-Sayed wameanza mdogomdogo kutinga kwenye nafasi za power.

Imagine Mamdani, Mayor wa New-York bila hofu anamuita Netanyahu War Criminal. Haya ni mabadiliko makubwa sana, usingekuta hali hiyo miaka 10 iliyopita
 
Huwa tunasema kila siku hapa USA huanzisha na kutumia vikundi vya kigaidi kufanikisha maslahi yao.

Imagine tuliaminishwa Al Qaeda ndio magaidi hatari duniani na wanatakiwa kutekezwa ila hao hao US wakasaidia Al Qaeda kumpindua Assad na leo Gaidi most wanted ni Rais wa Syria na mshirika mkubwa wa USA.

Marcostilone
 
Mkuu kwani geopolitics ina rafiki wa kudumu?
 
Back
Top Bottom