Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kweli kabisa.Hapo chance ya ndoa kuendelea ni 0.0001%
Umempa wazo konki.Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wemwambia inabidi aende training marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2,
Ushauri wako ni upi?, Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Amruhusu aende,kama riziki ni yake atarudi akiwa na upendo na heshima ileile.Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wemwambia inabidi aende training marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2,
Ushauri wako ni upi?, Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Hamna jinsi unaweza kumzuia! Pamoja na kwamba ni mke wako kwa upande mmoja; upande mwingine ni mama wa watoto! Akienda huko akakengeuka piga chini hasiwe mke wako lakini ataendelea kuwa mama wa watoto wako. Mimi nimeoa dakitari tena bado binti kabisa below 30! Kwa upande wangu siwezi kumruhusu hata yeye anajua hivyo!Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wemwambia inabidi aende training marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2,
Ushauri wako ni upi?, Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Sitakaa nimshauri mwanandoa.....hawachelewi kusema yule mbwa anasema ivi....Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wemwambia inabidi aende training marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2,
Ushauri wako ni upi?, Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Unaweza ukambana hapo hapo mkuu na mkakosana vile vile.Hamna jinsi unaweza kumzuia! Pamoja na kwamba ni mke wako kwa upande mmoja; upande mwingine na mama wa watoto! Akienda huko akakengeuka piga chini hasiwe mke wako lakini ataendelea kuwa mama wa watoto wako. Mimi nimeoa dakitari tena bado binti kabisa below 30! Kwa upande wangu siwezi kumruhusu hata yeye anajua hivyo!