Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Sio kumpa ruhusa au kutompa ruhusa, hizo ni mahusiano ya mwaka 1930. Wanandoa wanakaa, kushauriana na kupanga mikakati pamoja, sio kuombana ruhusa
Wewe wawapi? Whatever the case kwa absence ya muda mrefu huo lazima aombe ruhusa kwa mme wake! Familia ina security kubwa kuliko ajira! Uwezekano wa kupoteza ajira ni mkubwa kuliko kupoteza familia! Ukipoteza ajira ni rahisi kuipata kuliko akipoteza familia ni ngumu! Hata mwajiri akimpa hiyo long-distance scholarship kwa mke wa mtu anakuwa anajua kipengele cha "subject to her family compliance"
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Aende Haraka sana...Mwaka mbona kidogo hata ingekuwa miwili
 
Unaweza ukambana hapo hapo mkuu na mkakosana vile vile.
Hivi viumbe vinyonga.
Weeewee! Kuna wanaume tuliokaa katika nafasi zetu kama wanaume! Kuna wanaume majike yanayotaka compliance na mke! Ujawahi kuona maamuzi fulani mme anasema "ebu nikamuulize mke wangu kwanza"! Namshukuru Mungu majukumu ya msingi ya kifamilia nayamudu angalau 75%. Nikisema nimesema! Wee ndo kama hao mnaotaka kila kitu compliance na mke tena maamuzi magumu kama hayo ndo mtihani wa kiume!
 
Huo ni ubabe.....
 
Kwa mke wa la 7b inawezekana, lakini sio daktari
 
Ila kusema ukweli mruhusu tu aende awe na Imani tu. Aache yeye mke ndio atakuwa anamtafuta wanachati WhatsApp ana kupigana video call.
Mie nasema toka moyoni muache Mana akitoboa huko mbele kwa mbele lazima awabebe watoto so na Hawa watt wakija kuwa mawaziri huko USA lazima watakuja kumkumbuka baba yaani lazima huyu wa miaka mitano anazo kumbukumbu zote.
He has to risk what he has so that he can get better life at future.
Nje pazuri wewe chezea hakuna vumbi,jua Kali,hakuna uchafu watu wamekuwa conditioned kuwa wastaraabu
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Hii mbona kaka imetokea mtandao fulani? Kwenye pitapita zangu twitter nmeiona
 
Weeewee! Kuna wanaume tuliokaa katika nafasi zetu kama wanaume! Kuna wanaume majike yanayotaka compliance na mke! Ujawahi kuona maamuzi fulani mme anasema "ebu nikamuulize mke wangu kwanza"! Namshukuru Mungu majukumu ya msingi ya kifamilia nayamudu angalau 75%. Nikisema nimesema! Wee ndo kama hao mnaotaka kila kitu compliance na mke tena maamuzi magumu kama hayo ndo mtihani wa kiume!
Mkuu huwenda wewe ni mtu mzima sana kuliko mimi.
Hata mimi nimeoa mkuu na hii ni ndoa yangu ya tatu.
Ila kama huyo ni wako mkuu hata aende ulaya atarudi na heshima ile ile,ila kama sio wako mkuu hapo hapo unapoishi nae anaweza kukuzingua vizuri tu.
Mkuu we nani bwana usizinguliwe na hao wanawake!?
Umezaliwa naye huyo kaka!?
Cha muhimu ni kuomba tu Mungu mambo yaende sawa,ila huyo unaelala nae akiamua kukubadilikia huwezi amini kama ndio yeye uliyekuwa unamdhibiti uwezavyo.
Swali jepesi tu,una uhakika asilimia 100% mkeo hajawahi kuwa na makando toka mmeoana!?
 
Kwa mke wa la 7b inawezekana, lakini sio daktari
Graduate medical doctor! Nashukuru malezi ya wazazi wake! Wengi mnaoa wanawake mashetani! Sasa kwenda marekani kuna guarantee gani ya kuadd value katika familia yangu? Kanikuta niko vizuri watoto wangu wako vuzuri! Nimeoa mke as my intimate company! Sasa out of no where eti unananinyanganya kwa kigezo cha scholarship na uongo ya kwamba akimaliza atafanywa bosi! You are kidding! Wanaume tumepewa nguvu tukaporwa!
 
Roho mbaya tu wanaume zinawasumbua hapa.. ndoa isiwe sababu ya kuweka vizingiti vya mafanikio ya mtu wewe umeoa daktari na wewe ni daktari inamaana unajua kabisa kazi za daktari zilivyo.

Ache aende Marekani asome.
 
Rafiki yako jina lake anaitwa Mume mbinafsi au Mume asie jiamini🤣🤣🤣
Ndicho nilichokiona mimi.
Ubinafsi ama kutokujiamini,unaweza ukamkuta za asiende kwa kutokujiamini na akakutosa vile vile kwa kukusaliti na mtu mwingine hapa hapa bongoland.
Haya maisha hayanaga kanuni.
 
Back
Top Bottom