Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu unaelewa vyema.Wewe wawapi? Whatever the case kwa absence ya muda mrefu huo lazima aombe ruhusa kwa mme wake! Familia ina security kubwa kuliko ajira! Uwezekano wa kupoteza ajira ni mkubwa kuliko kupoteza familia! Ukipoteza ajira ni rahisi kuipata kuliko akipoteza familia ni ngumu! Hata mwajiri akimpa hiyo long-distance scholarship kwa mke wa mtu anakuwa anajua kipengele cha "subject to her family compliance"
Mwambie rafiki yako kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda na watoto, na oia kuna muda wa mume ku visit. amwambie mkewe aombe hivyo kwakuwa ana watoto wadogo.Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
namshukuru Mungu nipo kwenye ndoa nzuri sana. nadhani, wokovu ni ngao kubwa sana ya ndoa. siwezi kumwekea shilingi mke wangu asilimia mia moja ila kwa imani ninazo zote mia kwa Yesu Kristo.Amwache aende kwa baraka zake zote, halafu atafute beki tatu bomba angaalie watoto wakati akiwa kazi, au kama ana mdogo wake aje haraka sana
Ndio muda wa kuchakata mbususu huo,
Sasa Shetani na hisia wapi na wapi!?[emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri mwingi ni wa kuchapiwa
Ivi mnao umiaga kuchapiwa mwanamke ambaye usha mkula huwa ina kuaje .maana binafsi nikisha kula hata niku kute una liwa huwezi niumiza kichwa kabsaa au sina hisia [emoji28][emoji41]