Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Wewe wawapi? Whatever the case kwa absence ya muda mrefu huo lazima aombe ruhusa kwa mme wake! Familia ina security kubwa kuliko ajira! Uwezekano wa kupoteza ajira ni mkubwa kuliko kupoteza familia! Ukipoteza ajira ni rahisi kuipata kuliko akipoteza familia ni ngumu! Hata mwajiri akimpa hiyo long-distance scholarship kwa mke wa mtu anakuwa anajua kipengele cha "subject to her family compliance"
Kuna kitu unaelewa vyema.

Kumbe ulikuwa sahihi siku uliyoniambia wanawake kutafuta ndoa ni security kuliko kutafuta kazi/biashara. Nilichukulia kwa mlengo mwingine, Ila kwa hapa upo sahihi.
 
Ushauri mwingi ni wa kuchapiwa

Ivi mnao umiaga kuchapiwa mwanamke ambaye usha mkula huwa ina kuaje .maana binafsi nikisha kula hata niku kute una liwa huwezi niumiza kichwa kabsaa au sina hisia [emoji28][emoji41]
 
Kama ushazae nae mpe ruhusa , ndio wakati wake wa kufany maendeleo watoto wawili sio haba ...Hapo akili yake imekua sana mpe nafasi utakuja kufurahi .
 
Kuna majirani zetu miaka hiyo tupo wadogo wadogo huyo maza alikua lekchara sasa akawa amepata nafasi kwenda kusomea PHD marekani.

Hakuwahi kurudi tena mpaka leo maana alipofika huko aliolewa tena na mzungu.
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Mwambie rafiki yako kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda na watoto, na oia kuna muda wa mume ku visit. amwambie mkewe aombe hivyo kwakuwa ana watoto wadogo.
 
Amwache aende kwa baraka zake zote, halafu atafute beki tatu bomba angaalie watoto wakati akiwa kazi, au kama ana mdogo wake aje haraka sana
Ndio muda wa kuchakata mbususu huo,
namshukuru Mungu nipo kwenye ndoa nzuri sana. nadhani, wokovu ni ngao kubwa sana ya ndoa. siwezi kumwekea shilingi mke wangu asilimia mia moja ila kwa imani ninazo zote mia kwa Yesu Kristo.

ila uhalisia, ukienda kuishi ulaya mwaka hata mmoja tu, peke yako, ukirudi bila kuchiti labda uwe na Yesu moyoni, la sivyo, ni ngumu. muishi tu kwa kuheshimiana ila mjue mengi yameshatokea kati kati yenu.
 
Mwaka ni siku 365 hadi 366 kama tayarii Wana familia...bhas amuache aende....ila awe na plan B if anything goes differently
 
Ingekuwa mwanaume ndio kapata mwanya huo, jee angejiuliza uliza? Au mkuki kwa nguruwe?
 
Ushauri mwingi ni wa kuchapiwa

Ivi mnao umiaga kuchapiwa mwanamke ambaye usha mkula huwa ina kuaje .maana binafsi nikisha kula hata niku kute una liwa huwezi niumiza kichwa kabsaa au sina hisia [emoji28][emoji41]
Sasa Shetani na hisia wapi na wapi!?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata asipoenda huko Amerika kama ni kuchapiwa atachapiwa tu hapohapo Daresalama.
 
Amwache aende tu hata akienda kutoa mbunye kwa staili ya popo kanyea mbingu poa tu

Ila asijichanganye ajue anapiga chini tu hiyo ndiyo jadi yetu masela ammege kisela haswa kabla hajaenda ampe staili ya scania linatafuta njia polini
 
Back
Top Bottom