Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Humu ndani kuna mishoga midume na yenye vinasaba vya ushoga inapost sana mambo ya wanawake shenzi zao

Mambo ya wanawake waachiwe wenyewe
Wawe waenda marekani or popote
Itakua wewe ndio shoga, maana mtu anafanya/kuongea yale anayoyawaza saana, kila thread humu unaihusianisha na ushoga, sidhani kama utapata basha humu.
 
Moja ya nchi ambayo ukipata nafasi ya kwenda hutakiwi kuacha ni USA.

Your dick wasn't the first to her and won't be the last.

Cha msingi na yeye mme apate ramani ya kufika huko pia watoto waandaliwe future ya kuweza kwenda USA kwa urahisi kabisa kama kwenda Tandika- Buza.
 
Akae
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Atafte nafasi ili ajadiliane na mkewe kuhusu hilo swala, uamuzi watakaoupata ndio utakuwa uamuzi sahihi
 
Kwani huyo rafiki yako ni anaogopa kumsaliti mkewe au ni anaogopa kusalitiwa na mkewe?.

Yeye anaweza kukaa mwaka mzima bila ngono?, kama ndio basi ajue na mkewe anaweza. Kama ni hapana basi ajue na mkewe ni hapana.
 
Itakua wewe ndio shoga, maana mtu anafanya/kuongea yale anayoyawaza saana, kila thread humu unaihusianisha na ushoga, sidhani kama utapata basha humu.
Chuo kikuu mtu lecturer mume au mke abaenda kusoma nje years na hakuna shida halafu dume shoga au lenye vinasaba vya ushoga humu linaanzisha mada za kike humu shenzi type
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Mwambie atokke njia panda mara moja,amruhusu mke wake aende apate maarifa,
akirudi ataisaidia familia na taifa, Madhara ya kumzuia wakati yeye(mke) anapenda kwenda ni makubwa mno,
kama jamaa anawaza kuibiwa,mwambie anaweza kuibiwa hapa hapa bongo tena huko huko kazini,
Kama anawaza atazidiwa elimu na kipato,bado huyo bidada anaweza kuipata elimu hapa hapa nyumbani akamzidi.
Inabidi mambo mengine tujifunze kujiamini kama wanaume,matokeo yatakayokuja utakabiliana nayo.
Usisahau kumwambia ajifunze kuikabidhi familia yake kwa Mungu.
 
Chuo kikuu mtu lecturer mume au mke abaenda kusoma nje years na hakuna shida halafu dume shoga au lenye vinasaba vya ushoga humu linaanzisha mada za kike humu shenzi type
Wewe nenda kapumuliwe huko, hakuna basha humu ndani.
 
😂😂😂 Haya ya Rafiki yako Achana nayo.
Mbona ule Uzi wa Confession prakatatumba ulitushangaza ulikua ni jinsia Ke . Leo tena umekua Me. Tupe Siri ya Uboreshaji wako
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Aache usenche, amruhusu aende, kama kuchapiwa hata hapa anachapwa tu, issue ya watoto haina impact sana, kwani mke anafanya kazi thus mostly watoto wapo na dada wa kazi au ndugu.
 
Kumruhusu mkeo kwenda kutafuta fursa wewe umebaki nyumbani kuna tofauti gani na kuwa marioo, mwambie aache ujinga.....mwanamke ndo anatakiwa kubaki nyumbani kulea watoto, siyo kwenda huko kusikojulikana kutafuta fursa.
 
The point ni kwamba, acha ende USA kutafuta fursa. Issue ya kumaliza mwaka bila kwichikwichi ipuuzwe maana hata akiwa nchini bado usaliti unaweza tokea. Meaning mpaka hapo usaliti is inevitable. Na ni vyema kama litapuuzwa. Japo lazima litokee ila LIPUUZWE

Lakini hata nyie mnaotaka wake wasomi au mlio oa wake wasomi iwe funzo kwenu. Wenzangu wa dini, hakuna ndoa nimewahi kusikia, mme yupo Israel na mke yupo Misri.
 
Umempa wazo konki.
Inabidi aangalie future ya watt wake na sio maku ya mke wake. Iyo inatafunwa na haishi Kama sabani. Akipata mme mzungu mwambie amkubalie awe anamchuna hela anamtumia. Kama vipi anaweza akamuunga Naye akawa anapiga kazi huko huko USA na kumuita jamaa Kama kaka yake.
Let us build future if our kids don't be selfish just thinking yourself
Hawajabuildi fyucha ya watoto asubiri mzungu awabuldie?

Kama ndivyo hawakupaswa kupata watoto at the first place.
 
Back
Top Bottom