Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Wewe wawapi? Whatever the case kwa absence ya muda mrefu huo lazima aombe ruhusa kwa mme wake! Familia ina security kubwa kuliko ajira! Uwezekano wa kupoteza ajira ni mkubwa kuliko kupoteza familia! Ukipoteza ajira ni rahisi kuipata kuliko akipoteza familia ni ngumu! Hata mwajiri akimpa hiyo long-distance scholarship kwa mke wa mtu anakuwa anajua kipengele cha "subject to her family compliance"Sio kumpa ruhusa au kutompa ruhusa, hizo ni mahusiano ya mwaka 1930. Wanandoa wanakaa, kushauriana na kupanga mikakati pamoja, sio kuombana ruhusa
Aende Haraka sana...Mwaka mbona kidogo hata ingekuwa miwiliNilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
😂😂😂Amwache aende kwa baraka zake zote, halafu atafute beki tatu bomba angaalie watoto wakati akiwa kazi, au kama ana mdogo wake aje haraka sana
Ndio muda wa kuchakata mbususu huo,
Weeewee! Kuna wanaume tuliokaa katika nafasi zetu kama wanaume! Kuna wanaume majike yanayotaka compliance na mke! Ujawahi kuona maamuzi fulani mme anasema "ebu nikamuulize mke wangu kwanza"! Namshukuru Mungu majukumu ya msingi ya kifamilia nayamudu angalau 75%. Nikisema nimesema! Wee ndo kama hao mnaotaka kila kitu compliance na mke tena maamuzi magumu kama hayo ndo mtihani wa kiume!Unaweza ukambana hapo hapo mkuu na mkakosana vile vile.
Hivi viumbe vinyonga.
Huo ni ubabe.....Weeewee! Kuna wanaume tuliokaa katika nafasi zetu kama wanaume! Kuna wanaume majike yanayotaka compliance na mke! Ujawahi kuona maamuzi fulani mme anasema "ebu nikamuulize mke wangu kwanza"! Namshukuru Mungu majukumu ya msingi ya kifamilia nayamudu angalau 75%. Nikisema nimesema! Wee ndo kama hao mnaotaka kila kitu compliance na mke tena maamuzi magumu kama hayo ndo mtihani wa kiume!
Utajua mwenyewe!Huo ni ubabe.....
Kwa mke wa la 7b inawezekana, lakini sio daktariWeeewee! Kuna wanaume tuliokaa katika nafasi zetu kama wanaume! Kuna wanaume majike yanayotaka compliance na mke! Ujawahi kuona maamuzi fulani mme anasema "ebu nikamuulize mke wangu kwanza"! Namshukuru Mungu majukumu ya msingi ya kifamilia nayamudu angalau 75%. Nikisema nimesema! Wee ndo kama hao mnaotaka kila kitu compliance na mke tena maamuzi magumu kama hayo ndo mtihani wa kiume!
Hii mbona kaka imetokea mtandao fulani? Kwenye pitapita zangu twitter nmeionaNilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Mkuu huwenda wewe ni mtu mzima sana kuliko mimi.Weeewee! Kuna wanaume tuliokaa katika nafasi zetu kama wanaume! Kuna wanaume majike yanayotaka compliance na mke! Ujawahi kuona maamuzi fulani mme anasema "ebu nikamuulize mke wangu kwanza"! Namshukuru Mungu majukumu ya msingi ya kifamilia nayamudu angalau 75%. Nikisema nimesema! Wee ndo kama hao mnaotaka kila kitu compliance na mke tena maamuzi magumu kama hayo ndo mtihani wa kiume!
Graduate medical doctor! Nashukuru malezi ya wazazi wake! Wengi mnaoa wanawake mashetani! Sasa kwenda marekani kuna guarantee gani ya kuadd value katika familia yangu? Kanikuta niko vizuri watoto wangu wako vuzuri! Nimeoa mke as my intimate company! Sasa out of no where eti unananinyanganya kwa kigezo cha scholarship na uongo ya kwamba akimaliza atafanywa bosi! You are kidding! Wanaume tumepewa nguvu tukaporwa!Kwa mke wa la 7b inawezekana, lakini sio daktari
Ndicho nilichokiona mimi.Rafiki yako jina lake anaitwa Mume mbinafsi au Mume asie jiamini🤣🤣🤣