Ofisi na karakana za SIDO Dar naomba kuelekezwa zilipo

Ofisi na karakana za SIDO Dar naomba kuelekezwa zilipo

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,143
Reaction score
1,729
Wakuu,
Naomba kuelekezwa mahali zilipo karakana na ofisi za SIDO Dar es Salaam.

Natokea Kimara, kwa usafiri wetu wa daladala nipande za kwensa wapi hadi nifike. Msaada tafadhali
 
Ofisi zipo karibu na Vingunguti ikiwa unatokea airport kuelekea mjini ukishapita Kituo cha njia panda jeti kinachofuata
 
Back
Top Bottom