Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ripoti inasema pesa zilizoibiwa ni zaidi ya bajeti ya nchi ambayo hata utekelezaji wake ni almost 40 % ni mwehu tuu anayeweza iamini hyo ripoti
Mama hana nia ya kufuta ubadhilifu hapa nchini kwani kazungukwa na wezi ambao pia wanamsaidia katika shughuli zake za kifisadi, Mama hana tofauti na mshauri wake mkuu, Kikwete.Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai.
Kwanza, bunge limeonesha kupambana na ofisi ya CAG. Kwa Sasa bunge haliipi ripoti ya CAG uzito wowote. Ni Bora bunge lijadili azimio la kumpongeza Rais au maadili, lakini kutenga siku tatu kujadili mambo mazito Kwenye ripoti inaonekana ngumu mpaka kurushwa mwezi wa kumi na moja amabpo ushahidi utakuwa umeondolewa na maofisa wa CAG kunyamazishwa.
Pili, serikali kupitia msemaji wake imeishambulia ofisi ya CAG kwa kudai kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ndio wenye kasoro. Moja kwa moja inaoenekana serikali haiamini ripoti za CAG na kuwashuku maafisa wa CAG kupika takwimu.
Sasa Kama bunge na serikali haiiamini ofisi ya CAG basi ni bora tuifute hiyo ofisis ili ufisadi uendelee bila ufuatiliaji, Kuliko kuizodoa na kuikashifu ofisi ya CAG kisa imetoa ripoti yenye kuonesha ufisadi mkubwa.
Ni unafiki wa kuendelea kulipa mabilioni ya shilingi Kwenye ofisi ya CAG wakati ripoti yake tunaidharau na kuishamblia na wala haitekelezwi.
That's my point. Tunaanzisha ofisi halafu ufisadi ukiwekwa wazi tunaanza kupoteza watu. Unaanzisha ofisi ya ukaguzi sasa ukaguzi ukifunua ufisadi tuanaanza kuwinda watu Tena.Wanyamazishwe? Mbona tayari wawili wameishanyamazishwa others to follow aisee! Be very very extra careful braza K! 😭
Wanatanya Kicheere atengeneze maadui wengi tu , wakati report yake hawaifanyii kazi, nadhani hata kuisoma hawaisomi.Karibu mkuu
Kweli kabisa mkuu hakuna nia ya dhati ya kupambana na ufisadi kutoka kwa mkuu wa nchi. Wezi ndio wenye sauti kwa Sasa.Mama hana nia ya kufuta ubadhilifu hapa nchini kwani kazungukwa na wezi ambao pia wanamsaidia katika shughuli zake za kifisadi, Mama hana tofauti na mshauri wake mkuu, Kikwete.
Kawashika makalio wao wenyewe wamekuja kwa hamaki kwamba ripoti imekosewa. Walikuwa wamezoea kukenua meno kumshambulia JPM sasa ni zamu yao na bado mwakani mambo ni mabaya sana kwa upigaji serikaliniKwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai.
Kwanza, bunge limeonesha kupambana na ofisi ya CAG. Kwa Sasa bunge haliipi ripoti ya CAG uzito wowote. Ni Bora bunge lijadili azimio la kumpongeza Rais au maadili, lakini kutenga siku tatu kujadili mambo mazito Kwenye ripoti inaonekana ngumu mpaka kurushwa mwezi wa kumi na moja amabpo ushahidi utakuwa umeondolewa na maofisa wa CAG kunyamazishwa.
Pili, serikali kupitia msemaji wake imeishambulia ofisi ya CAG kwa kudai kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ndio wenye kasoro. Moja kwa moja inaoenekana serikali haiamini ripoti za CAG na kuwashuku maafisa wa CAG kupika takwimu.
Sasa Kama bunge na serikali haiiamini ofisi ya CAG basi ni bora tuifute hiyo ofisis ili ufisadi uendelee bila ufuatiliaji, Kuliko kuizodoa na kuikashifu ofisi ya CAG kisa imetoa ripoti yenye kuonesha ufisadi mkubwa.
Ni unafiki wa kuendelea kulipa mabilioni ya shilingi Kwenye ofisi ya CAG wakati ripoti yake tunaidharau na kuishamblia na wala haitekelezwi.
Kumbe unajuwa, Mama mwenyewe ni mbadhilifu na ndiyo maana anawanyamazia vijana wake wezi. Ni kitu kilicho wazi kabisa, aipitie tu ile ripoti ya CAG yeye mwenyewe.Kweli kabisa mkuu hakuna nia ya dhati ya kupambana na ufisadi kutoka kwa mkuu wa nchi. Wezi ndio wenye sauti kwa Sasa.
Mkuu wa Majeshi anateuliwa na nani?Ngoja kwanza niwape maarifa,kwani afisi Iko chini ya nani,Sasa kwa nini ifutwe wakati haina madhara? Mi napendekeza afisi tuwape jeshi.
Ukiona hivi basi juwa Mama mwenyewe anahusika na ndiyo maana hakemei kitu. Nchi imeharibika sana chini ya Mama akishauriwa na Kikwete na Mze Makamba.Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai.
Kwanza, bunge limeonesha kupambana na ofisi ya CAG. Kwa Sasa bunge haliipi ripoti ya CAG uzito wowote. Ni Bora bunge lijadili azimio la kumpongeza Rais au maadili, lakini kutenga siku tatu kujadili mambo mazito Kwenye ripoti inaonekana ngumu mpaka kurushwa mwezi wa kumi na moja amabpo ushahidi utakuwa umeondolewa na maofisa wa CAG kunyamazishwa.
Pili, serikali kupitia msemaji wake imeishambulia ofisi ya CAG kwa kudai kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ndio wenye kasoro. Moja kwa moja inaoenekana serikali haiamini ripoti za CAG na kuwashuku maafisa wa CAG kupika takwimu.
Sasa Kama bunge na serikali haiiamini ofisi ya CAG basi ni bora tuifute hiyo ofisis ili ufisadi uendelee bila ufuatiliaji, Kuliko kuizodoa na kuikashifu ofisi ya CAG kisa imetoa ripoti yenye kuonesha ufisadi mkubwa.
Ni unafiki wa kuendelea kulipa mabilioni ya shilingi Kwenye ofisi ya CAG wakati ripoti yake tunaidharau na kuishamblia na wala haitekelezwi.
Naunga mkono hoja hiii 💯💯💯💯Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai.
Kwanza, bunge limeonesha kupambana na ofisi ya CAG. Kwa Sasa bunge haliipi ripoti ya CAG uzito wowote. Ni Bora bunge lijadili azimio la kumpongeza Rais au maadili, lakini kutenga siku tatu kujadili mambo mazito Kwenye ripoti inaonekana ngumu mpaka kurushwa mwezi wa kumi na moja amabpo ushahidi utakuwa umeondolewa na maofisa wa CAG kunyamazishwa.
Pili, serikali kupitia msemaji wake imeishambulia ofisi ya CAG kwa kudai kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ndio wenye kasoro. Moja kwa moja inaoenekana serikali haiamini ripoti za CAG na kuwashuku maafisa wa CAG kupika takwimu.
Sasa Kama bunge na serikali haiiamini ofisi ya CAG basi ni bora tuifute hiyo ofisis ili ufisadi uendelee bila ufuatiliaji, Kuliko kuizodoa na kuikashifu ofisi ya CAG kisa imetoa ripoti yenye kuonesha ufisadi mkubwa.
Ni unafiki wa kuendelea kulipa mabilioni ya shilingi Kwenye ofisi ya CAG wakati ripoti yake tunaidharau na kuishamblia na wala haitekelezwi.
Mkuu hii hoja naomba ifike bungeni....That's my point. Tunaanzisha ofisi halafu ufisadi ukiwekwa wazi tunaanza kupoteza watu. Unaanzisha ofisi ya ukaguzi sasa ukaguzi ukifunua ufisadi tuanaanza kuwinda watu Tena.
Unajua utashi wa watu wanaotafuta vyeo vya kisiasa? Kikubw ni mamlaka na mali. Bila kupigania katiba bora utasubiri huo utashi hadi mbingu zishuke.Shida sio katiba mpya utashi wa kisiasa wa hawa Viongozi wa bunge na serikali.