Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Masauni leo Aprili 21, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma.
Aidha, kabla ya bajeti hiyo kuwasilishwa, Wizara ya Nishati, itawasilisha randama za makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ambapo kesho Aprili 22, 2026 bajeti ya wizara hiyo itawasilishwa bungeni.
Mbali na hayo, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo Wabunge watapata nafasi ya kuuliza maswali kwa Serikali.
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi bilioni 99.8 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli zake katika mwaka wa fedha 2026/2027.
Hayo yameelezwa leo Aprili 21, 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Masauni, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya ofisi hiyo bungeni jijini Dodoma.
Mhandisi Masauni amesema kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 23.2 ni kwa ajili ya matumizi ya Ofisi binafsi ya Makamu wa Rais na shilingi bilioni 76.6 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo.