GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na Dreamliners za ATCL.
Sasa mnavyotuwekea Picha zake kila mara akiwa anazungumza na Abiria wa ATCL ndani ya Ndege ndiyo mnataka Kutuambia nini labda iSisi Watanzania wenye Akili na Maarifa mengi ya Kidunia na Masuala?
Au Yeye Mwenyewe Mtani wangu huyo wa Kiha (kwakuwa Kiasili) ni Washamba (Mambwiga) ndiyo huwa anawaambieni muwe mnatupia hizo Picha?