Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanaCCM hawataweza kumpitisha Ole Sendeka, vipi kuhusu yule ng'ombe aliyekatwa mkia anayeitwa Ole Milya atatokea wapi?Eeeh nani anamdanganya Ole Sendeka, Simanjiro hawezi shinda hata kwa 10%, hivi hawa watu mtu hata tathmini yake au kukubaliwa kwake na wananchi hajui, akidanganywa na watu wawili, mmoja mke wake, mwingine mchepuko, mara rafiki wa karibu anadhania anakubalika sanaaaaa, Ole Sendeka ndio byee byeee hiyooo, hutamuona tena, kwanza hakuwa mtendaji mzuri hata kidogo, hiyo ni fursa kwa Mh. Rais kuchagua Mkuu wa Mkoa mpya mzuri
😅😄😃😀😁😂anaangukia pua asubuhi na mapema sawa na Mwanri tu
bora hata angegombea hapohapo njombe
Watu wamechoka kufanya kazi na Magu.. Nafikiri hakuna njia nyingine ya kuaga zaidi ya hii..Eeeh nani anamdanganya Ole Sendeka, Simanjiro hawezi shinda hata kwa 10%, hivi hawa watu mtu hata tathmini yake au kukubaliwa kwake na wananchi hajui, akidanganywa na watu wawili, mmoja mke wake, mwingine mchepuko, mara rafiki wa karibu anadhania anakubalika sanaaaaa, Ole Sendeka ndio byee byeee hiyooo, hutamuona tena, kwanza hakuwa mtendaji mzuri hata kidogo, hiyo ni fursa kwa Mh. Rais kuchagua Mkuu wa Mkoa mpya mzuri
Mkuu, hivi huwa wanapatiwa mafao yao lakini?Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Mwanri yupo Siha mkuu
Nimefurahi Mwanri ameenda Siha ili amnyooshe yule kilaza aliyeunga juhudi. Pia nimefurahi kwa Sendeka ili Ole Milya naye anyooke. Yani ni full mashangwe kila jimbo la muunga juhudi limebana.sawa..
Mwanri angegombea tabora alikuwa na uwezekano mkubwa tu wa ushindi tofauti na huko Siha
Mwakasaka mbunge wa hapo hakuna alilofanya..
zaidi alitembelea nyota ya Mwanri,mzee wa Toronto
Kama wanaCCM hawataweza kumpitisha Ole Sendeka, vipi kuhusu yule ng'ombe aliyekatwa mkia anayeitwa Ole Milya atatokea wapi?
Shida hawajui bado katakata majina wasiokua na sifa,bado kura za maoni je watachomoka?Hilo wimbi lote la watangazania hawawezi pita wote,ni jambo la wakati tuBora ametoka, alikua nuksi sana kwa wananjombe. Tatizo waoga kutumbuliwa, wanajua ubunge huwezi tumbuliwa, wasilo jua ni kwamba watatumbuliwa early in the morning
Yaani Wapuuzi waliounga mkono juhudi imekula kwao ,nimeshangaa hadi mtulia naye kachukua fomu wakati kabisa hawezi kupitishwa!!! Alishakula vipande vyake 30 vya fedha za usailiti atulie tu!
Shida hawajui bado katakata majina wasiokua na sifa,bado kura za maoni je watachomoka?Hilo wimbi lote la watangazania hawawezi pita wote,ni jambo la wakati tu
Tamaa ya madaraka...Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.