Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.

Inamana OLE MILYA itakuwaje? si aliunga juhudi?
 
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Uliota. Wameshateuliwa wengine.
 
Watu wanasepa wamechoka kuitwa wapumbavu pengine wanatishiwa sana na kupigiwa simu za kufokewa fokewaa nadhni wengi inawashinda waone Bora wagombee ubunge tu ambako huko utakuwa na amani ...ipo jambo mtu kuacha udc urc pamoja na walinzi na heshima kubwa bado ukimbilie kwenye majukwaaa ya kisiasa cyo
 
Nakahurumia kale kakijana kaliko okotwa BAVICHA na kupewa ukuu wa wilaya Dodoma eti nako hakajaridhika! Haka ndiko ka kukala kichwa fastaa!
Hata mie nimeshangaa kamenawili sahizi kaachia , rais nafasi nyingine awe anawapa wataalamu ila hata wao wakinogewa ndiyo basi, hao walio achia nafasi zao wasiteuliwe tena mtu akikosa ubunge akalime mpunga
 
Ukuu wa mkoa hauna job security mda wwte unatumbuliwa,ubunge pesa nyingi hauna hofu ya kutumbuliwa ..uchangie usichangie bungeni wewe ni bata tu......
Sasa uupate, sio umetumia pesa zako kisha unaukosa hapo ndipo kujifunza kuimba kwaya huwa kuna anza
 
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Kinachonishangaza mimi ni vijana wa CDM kutangaza watia nia wa ccm huku tukiwa hatuwafahamu watia nia wa CDM.

Mnakwama wapi nyie ?
 
Wanakuhusu nini? Kama wewe ni mpiga kura wa mtu husika ugamjua tu maana atakuja jimboni kwenu kuwaomba kumpigia kura.

Kwa sasa tuwache tuwajadili watia nia wa ccm
Kinachonishangaza mimi ni vijana wa CDM kutangaza watia nia wa ccm huku tukiwa hatuwafahamu watia nia wa CDM.

Mnakwama wapi nyie ?
 
Back
Top Bottom