hahahaaaaNaona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Hapa kuna maelezo ya hawa watia nia yaliyojificha ,lakini yanaonekana kwa vitendo .Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
kesho itatoka list nyingine naye lazima awemo safari hii lazima kila mtu aonje u DCNakahurumia kale kakijana kaliko okotwa BAVICHA na kupewa ukuu wa wilaya Dodoma eti nako hakajaridhika! Haka ndiko ka kukala kichwa fastaa!
Yeah! Wote wenye uchu wa madaraka 'wanyonyolewe' vyeo vyao!kesho itatoka list nyingine naye lazima awemo safari hii lazima kila mtu aonje u DC
Atamjua Maselle ngoja tuone!Nakahurumia kale kakijana kaliko okotwa BAVICHA na kupewa ukuu wa wilaya Dodoma eti nako hakajaridhika! Haka ndiko ka kukala kichwa fastaa!
Watu wanauonja kwa miezi 5 harafu Nov 2020 inaundwa team mpyakesho itatoka list nyingine naye lazima awemo safari hii lazima kila mtu aonje u DC
Yeye anasisitiza watu kuridhika.. ingekuwa kuridhika ni ishu yy angeridhika na UALIMU.Wameamua kumpuuza yaani inasikitisha wateule hawaheshim tena maagizo yake..zikifanyika figisu kama watakuwa wamepita kwenye kura za maoni na kuamua kuwaengua kama alivyosema huenda wakakumbwa na mpasuko
Mishahara ya RC na Waziri inafananaKuna haja ya kuwaongezea mishahara RCs na DCs na kuzuia ile possibility ya kuwatumbua majukwaani kwa matakwa ya mtu mmoja
Waziri ni MBUNGE pia. Kumbuka hiloMishahara ya RC na Waziri inafanana
Nafikiri watu wamechoka na ukuu wa mkoa na wilaya au nafasi nyingine za kuteuliwa na rais kwani hawana uhuru wa raha. Hili halisemwi kwa sasa lakini ndio hivyo.Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Ni kweli waziri ni mbungeWaziri ni MBUNGE pia. Kumbuka hilo
Sijapata idadi yake ila watakua zaidi ya 20.Mkuu kuna wagombea wangapi huko mpaka sasa
Bora ametoka, alikua nuksi sana kwa wananjombe. Tatizo waoga kutumbuliwa, wanajua ubunge huwezi tumbuliwa, wasilo jua ni kwamba watatumbuliwa early in the morning
Kinachoendela kinaelezea hali ilivyo katika uongozi na madhara ya kutowapa wateuliwa heshima stahili. Uongozi umedhoofishwa na uteuzi umekosa maana. Vijana wa mjini wanaiita hii jeshi la mtu mmoja. Halishindi vitaNaona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.