INAUZWA Ofisi ya movie, computer 21 telabytes inauzwa

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
OFISI YA MOVIE inauzwa ni Computer

Desktop Core i5 (4th Gen)

Brand HP
STORAGE 20TB
RAM 12GB
MONITOR 17INCH (DELL)
KEYBOARD
MOUSE

ina Movie zote za kutafsiriwa hii ilikua ni ofisi ya kumpa mtu kipato cha siku si chini ya 20,000.

ina season Zote za kiswahili pendwa za Kutafsiriwa na Ma Dj wa BONGO.

SILGLE MOVIES,KATUNI,NYIMBO,KILA KITU KINACHOHUSIANA NA LIBRARY AU STUDIO YA KUINGIZA MOVIE KWA FLASH.

MOVIE HIZI NIZA kutafsiriwa TU (sio ENGLISH)

Ukitaka za ENGLISH unapata PIA 20TB Tunaifuta za kiswahili tunaweka za Kizungu.

BEI Ya COMPUTER HII ikiwa na mzigo wake ukibeba ni utafute mwamvuli kijana na sabufa yako utege mahali utengeneze maisha yako.

Bei 1m (milioni 1)



SOLD OUT

SOLD OUT

SOLD OUT

SOLD OUT

SOLD OUT
 
Kwanini unauza?
inayouzwa ni Backup Office iliyokua ina saidia incase main office mashine ikapata hitilafu,hard disk zikafa,nk

tunakuja kuchukua mzigo kwenye Backup office.. kwasasa Backup office imehamishiwa kwenye mashine bora zaidi,storage zimebadilishwa sio HDD tena so everything is new.. we upgrade office so ile Backup OFFICE ndio inauzwa kama ilivyo sasa.
 
Nilikuwa sijui kama ni gharama hivi haya madude πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sio gharama kabisa kwa bei tajwa,ila kwa anae taka kuanza hawez anzia na mavitu yote hayo ni gharama kweli.
 
Kwa Mwenye Uhitaji wa OFISI purpose (kujiajiri) na una Mtaji hii ni Fursa kwako.

Nunua JARIBU biashara isipokulipa UZA uzuri ofisi hii unaweza inunua ukaja badili mawazo Ukaamua nawewe uiuze. Unarudisha hela yako unafanya mambo yako.
 
Bado ipo Ofisi inaendelea na kazi, PM za kuuliza ipo au haipo nashindwa zijibu zote ila Mali bado Ipo ikiuzwa nitaweka UPDATE chini ya Uzi kuwa Ofisi imeshauzwa.
 
Kwa Wahitaji Msisite kuja ofisi ipo Ikiuzwa lazima nilete mrejesho ilinKufunga UZI.
 
Nilikuwa sijui kama ni gharama hivi haya madude πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo kwa sisi tunaojua hii mambo ya movie mwamba anauza bei ya hasara....iyo 1m ni bei ya disk tu tena Tupu....njoo machine mixer kioo hakika mwamba yamemsibu ukipigiwa mahesabu ya izo bei ya movie tu kwangu uje na 500k ndio nikujazie izo 20tb.Kwangu Mimi bei ya haki kabisa hapo vyote vina thamani ya 2Ml.
Pia kujaza izo 20 tb sio kazi ya siku moja hapo kama unajaza bila kuzima mashine usiku jua wiki mbili ukizima wiki 4 .
 
Shukrani kwa Ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…