The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
- Thread starter
- #21
Asante sana Mkuu,nimefurahi kuoata Comment ya mtu anaejua hii biashara.Hapo kwa sisi tunaojua hii mambo ya movie mwamba anauza bei ya hasara....iyo 1m ni bei ya disk tu tena Tupu....njoo machine mixer kioo hakika mwamba yamemsibu ukipigiwa mahesabu ya izo bei ya movie tu kwangu uje na 500k ndio nikujazie izo 20tb.Kwangu Mimi bei ya haki kabisa hapo vyote vina thamani ya 2Ml.
Pia kujaza izo 20 tb sio kazi ya siku moja hapo kama unajaza bila kuzima mashine usiku jua wiki mbili ukizima wiki 4 .
Ningeandika mimi uliyo yaandika ningeonekana navuta upande wangu.
Wanakuja watu wananiambia eti niwapunguzie Bei,ukweli kutukana siwezi ila sijibu msg zao.
Kwa wewe mkuu upo cheap sana Mimi 20tb simjaziii mtu kwa 500k hiyo biashara waje kwenu tu kwakweli.
Acha Niuze hiii nitatue matatizo yangu lakini ipo siku kuna mtu atauona huu uzi atajuta sana kwanini hakuchukua maamuzi wakati huu kauona.