K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 May 30, 2026 #1 Yaani kuna ofisi watu wanalipwa na serikali kazi yao ni kuandikia barua Chadema! Wakati nchi ipo kwenye uangalizi mkubwa
Yaani kuna ofisi watu wanalipwa na serikali kazi yao ni kuandikia barua Chadema! Wakati nchi ipo kwenye uangalizi mkubwa
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,602 Reaction score 6,274 May 30, 2026 #2 Uangalizi wa nani? Au ndivyo mnavyokuwa mnadanganyana huko kwenye vikao vyenu?