Sio rahisi kwa serikali ya CCM kuifanyanyia mabadiliko himaya ya Mutungi na Shosty.
Ofisi hii ndio ilitumika kumng'oa marehemu Maalim Seif na kuisambaratisha CUF.
Ofisi hii imetumika kumng'oa Mbatia na kuiua kabisa NCCR -MAGEUZI.
Ofisi hii inatumika kuvilea vyama hewa vya upinzani hata kama havitafanya uchaguzi miaka mia moja.
Ofisi hii na Mutungi)
/Shosty ndio tegemeo pekee la kuisambaratisha CHADEMA na kazi walishaanza na inaendelea.