Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Ni wakati muafaka sasa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa.

Viongozi wakuu katika ofisi hiyo wamekaa pale muda mrefu na wengine hata zaidi ya miaka kumi.

Mara nyingi ofisi hii imelalalmikiwa na vyama vya upinzani na sasa kama itapendeza mabadiliko makubwa yafanyike kwenye ofisi hii.
 
Sio rahisi kwa serikali ya CCM kuifanyanyia mabadiliko himaya ya Mutungi na Shosty.
Ofisi hii ndio ilitumika kumng'oa marehemu Maalim Seif na kuisambaratisha CUF.
Ofisi hii imetumika kumng'oa Mbatia na kuiua kabisa NCCR -MAGEUZI.
Ofisi hii inatumika kuvilea vyama hewa vya upinzani hata kama havitafanya uchaguzi miaka mia moja.
Ofisi hii na Mutungi)
/Shosty ndio tegemeo pekee la kuisambaratisha CHADEMA na kazi walishaanza na inaendelea.
 
Hii ofisi ndio mwanzo wa vurugu zote hizi zilizokwenda kuleta dhuluma, unyanyasaji, kuumiza, kuonea na kudhalilisha binadamu wengine!
 
Back
Top Bottom