KWELI Ofisi ya Msajili yawasihi CHADEMA kusitisha Mkutano uliopangwa kufanyika Julai 23, 2023 huko Bulyaga, Temeke

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Tulikua tunaambiwa ni mkutano wa sauti Tanzania mpaka dr.mihogo atakuwepo na maaskofu kumbe ni mkutano wa chadema. Chadema wahuni sana
Sauti ya Watanzania imelazimika kushirikiana na chama cha siasa chenye usajili ili watanzania wafanikishe jambo lao.
Njoo twende Bulyaga!
 
Viongozi wa dini wangebakia makanisani hukohuko
Imeandikwa, ya kaisari mpe kaisari ,na ya mungu MPE mungu,sasa hawa viongozi WETU wa kidini wanamtaka mungu na kaisari kwa WAKATI mmoja 😊😊😊
-Wanawachanganya waumini wao,
#wito wachungaji tupeni chakula cha kiroho,piteni majumbani lifundisheni neno,mtaa kwa mtaa,ili maadili yasizidi kuporomoka katika jamii yetu,
-YAHUAH HA MASIACH,HALELUJAH HALELUJAH.
 
Hizo ni propaganda za CCM na machawa wa DP world.
Mkutano wa CHADEMA uko pale pale.

Toka lini msajiri akawa na mamlaka ya kuzuia mkutano wa chama cha siasa?
Msajiri amejuaje content za mkutano husika kabla ya kufanyika?
Mkutano wa injili mmeuvika joho la siasa Kwa kweli hapana acha mutungi aupige Pini, kama katibu wa Baraza la maaskofu ndo msemaji na mzungumzaji mkuu atakuwa padre slaa hiyo si ni injili kabisa.
 
Acha udwanzi, Mutungi siyo polisi.
 
CCM hutembea na manabii, mitume, maaskofu na mashehe huku wakiwa wamekumbatia bahasha za khaki.
 
Hili la bandari tulipe muda, likituacha kama lilivyo tukuta tutoe sadaka ya shukurani.
 
Source ya Habari ni Kitenge, Dada Kidoti aka Dalali....kashakula za mwarabu, now anahara kuandika upupu.. kenge kabisa![emoji706]

Mkutano upo pale pale[emoji106]
 
Mtungi anafahamu ajenda ya huo mkutano mpaka huitwe mkutano wa kidini??
 
Mpumbavu huyo mtungi
 
Kuna kanuni zinazosimamia vyama hivi aidha kwa kukiuka kanuni hizi chama chochote mile kipewe adhabu Kali ,ikiwepo kutokujihusisha na masuala ya siasa kwa miaka miwili (2).
Inaonekana hujui hata hizo kanuni. Kanuni zile zingekuwa zinafuatwa CCM ingekuwa ilikwishafutwa zamani.
 
Hatujawahi ona mkutano uliojaa mapdri na maasikofu Kama mkutano uliotarajia kufanyika leo, ulileta maswali mengi sana, tunashukru kwa kufutwa Tunaomba wahusika wahojiwe walikuwa na maana gani
Umefutwa na nani wakati kila kitu kinaenda sawa madalali wa bandari ya tanganyika mnateseka sana
 
Watanganyika bwana, nchi imewashinda aise umasikini na utapiamlo umetamalaki kila kona na kila sekta nchi hii

Kwani CHADEMA ndio wa kwanza hapa Tanganyika maaskofu kuhudhuria mikutano yao? awamu ya mwendazake CCM kila mara kwenye mikutano yao walijaza maaskofu mmesahau Watanganyika?

Fuateni utawala wa sheria, punguzeni mahaba na kujipendekeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…