KWELI Ofisi ya Msajili yawasihi CHADEMA kusitisha Mkutano uliopangwa kufanyika Julai 23, 2023 huko Bulyaga, Temeke

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Inaonekana hujui hata hizo kanuni. Kanuni zile zingekuwa zinafuatwa CCM ingekuwa ilikwishafutwa zamani.
Weka hutuba ya CCM yenye udini ukabila uzanzibar na utanganyika hapa nikuamini!
 
Ina maana FACT CHECK YA JF mpaka sasa haijagundua kwamba uzi huu ni feki ?
 
Mbinu Za ccm hizo.
Polisi kuruhusu then msajili kuzuia
 
Huu siyo mkutano wa kisiasa ni mkutano wa kiharakati hata mimi naunga mkono upigwe stop.
Lakini si dhani kama ni sawa kuwazui kufanya mkutano maana moja kati ya principle of democratic state is: Political pluralism: Democratic societies encourage multiparty systems, allowing citizens to choose from different political parties and ideologies, promoting diverse viewpoints and competition. Wanakosea ifikie muda watangaze Tanzania hold a dictatorship kind of government. And by doing so their should make revision on case study of Ghana around 1966 what happened... also from Guinea
 
Huu mkutano wa maombi ndio maana watu hawana shauku nao
 
Unasahau kuwa hao hao viongozi wanaapa kwa kutumia vitabu vya dini pia kumbuka katika biblia watawala weng waliokuwa ni viongozi wa kidini pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…