evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Wote ni TISS, GSO ni kitengo tu ndani ya TISSMkuu hii ni tofauti na ya TISS.hii ni taasisi nyingine kabisa nadhani iko chini ya wizara ya utumishi
Umeanza upuuzi wa GENTAMYCIMEkwa kimatumbi haziitwi ofisi, bali zinaitwa "safe houses".
nchi yoyote ambayo ina ofisi za ubalozi wa marekani, basi ujue ina safe houses nyingi za CIA.
hata hapa kwetu bongoland zipo safe house za CIA, ila inahitaji knowledge kubwa sana ya kimedani kuweza kuzibaini.
Vitu kama hamvijui muwe mnauliza sio kusema chai kila kitu..hii tabia hata haikuwepo JF kabla ya ujio wa Hizi tabia zenu za kitotoHii chai umesahau kiweka Mdalasini! Ahahahahah!!!
Hakuna cha chai, wakimtaka mtu alazwi Ostabei analazwa huko alafu anapandishwa ndege kimykimya.Hii chai umesahau kiweka Mdalasini! Ahahahahah!!!
Kuna uchafu mwingi sana huko Serikalini tunaougharamia.Nyingine inaitwa national institute of productivity yaan upuuz mtupu
Na wanyama wanapanda ndege, wao wanaona giza tupu!Sasa kivipi madini yameibwa kwa miaka 20? Kivipi Tanzanite inapitishwa chini ya ukuta? Kivipi CCM mafisadi wapo madarakani kama kweli usalama wapo?
Hawana lolote ni kelele tu otherwise hata kifo cha JPM kisingevuja kirahisi vile.
Umejibu sahihi, hao wanadeal na vetting, Siri za serikali na wako ndani ya TiSs ni Idara ndani ya TiSS.Hawa kazi yao kubwa ni Kufanyia Vetting watumishi wa Umma na kutoa mafunzo ya namna ya kudeal na nyara za Serikali. Katika mafunzo yao huwa wanapenda kusema Ukiwa mtumishi wa Serikali/Umma utafuatiliwa mpaka siku unaingia kaburini
Kwahiyo zamani kila kinachoandikwa JF mlikuwa mnakikubali tu! Basi sawa.Vitu kama hamvijui muwe mnauliza sio kusema chai kila kitu..hii tabia hata haikuwepo JF kabla ya ujio wa Hizi tabia zenu za kitoto
Na ndio maana wanaangaliana najumba jeupeNa kuna watumishi huwa wanalipwa mishahara hapo, hata kama hawajulikani kuwa wapo na kazi wanayofanya haionekani!
Juzi tu Mama Tozo kakataza matusi wee hata mwezi haujaisha mmeshaanza kweli tutafika au " Mwili mkubwa akili kisoda" sio tusi kwenu?Mwili mkubwa akili kisoda. Haya baki hivyohivyo ukidhani ni chai.
usinifananishe na hilo bogus please.Umeanza upuuzi wa GENTAMYCIME
Labda sisi ndo hatujui ila wengine wanajuaInasemekana? Ofisi rasmi za kitengo hazijulikani zilipo kama zile za Langley?!
Huwezi zijua maana ukishazijua maana yake wako exposedKwa kimatumbi haziitwi ofisi, bali zinaitwa "safe houses".
Nchi yoyote ambayo ina ofisi za ubalozi wa Marekani, basi ujue ina safe houses za CIA.
Hata hapa kwetu bongoland zipo safe house za CIA, ila inahitaji knowledge kubwa sana ya kimedani kuweza kuzibaini.
Nilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juice
Ni moja tu.Mkuu hii ni tofauti na ya TISS. Hii ni taasisi nyingine kabisa nadhani iko chini ya wizara ya utumishi
Mimi pia ni mtumishi wa umma ila zikuwahi kuwa na taarifa zao kabisa.Siyo usalama wa Serikali ni usalama wa Nchi mkuu mtoa mada kazi zao huwezi jua mpaka uwe mtumishi wa Serikali tu.